mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,004
Nakwambia hivi Matic atapewa pacha wake ktk hawa wawili, Obi au Zouma... Alafu pale nyuma ya Remy atakuwepo Faby.
Na ili kukata nguvu yenu kabisa..Willian ataanzia benchi na huo upande atacheza Ramires.. Kz kwake Mata na Blind huo upande! Yani nyie mtawekewa timu ngumu km chuma cha pua.
Alafu natanguliza pole kwa Valencia maana siku hiyo Hazard atamtengua nyonga!
Hamna lolote nyie Chelsea kwa sasa one man timu tegemeo lenu ni Hazard tu wengine wote wa kawaida, na huyo Hazard siku hiyo hapiti kokote. Nakushangaa unataja wachezaji takataka kama Remy, hivi Remy naye ni mshambuliaji wa maana katika EPL????