b5-click
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,194
- 2,113
Timu yenu imeshachoka na kocha wenu hana plan B kizuri ni kwamba mlishinda game nyingi mwanzo, Man United kwa sasa timu imetulia idara zote. Young, Mata, Rooney, Fellaini, Herrera wote wanafunga magoli
Unaizungumzia utd hii ambayo..
Da gea anafanya kazi za mabeki.. Mabeki wamegeuka viungo... Akina Fellaini ndo wamekua washambuliaji... Washambuliaji wamekua mashabiki... Akina falcao na RVP kazi kushagilia magoli ya mabeki... Mashabiki wenyewe mnafanya kazi ya van Gaal... Van Gaal kazi kubeba mavitabu makubwaaa kama anafundisha udaktari...
Hahahahahah... Karibuni darajani wazeee