Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,449
- 9,739
Tumetoka sare zote! Hoja ni nini hapa?
wale ambao wamekutesa sisi tunakusaidia ku-revenge! Sisi ndio kiboko ya vigogo wako
Tumetoka sare zote! Hoja ni nini hapa?
sihitaji kombe la mbuzi, nataka epl
Ungechukua wewe sijui ungesema nini?
Na EPL utaisikia tu.
wale ambao wamekutesa sisi tunakusaidia ku-revenge! Sisi ndio kiboko ya vigogo wako
hahah me sio Liverpool, msimu ujao nachukua! kataa unaacha
Mbele ya Chelsea hakuna timu kigogo.
Karibuni darajani wakuu.
Subirini siku zikaribie alafu mumuulize LvG juu ya Chelsea atawambia. We u nafikiri Chelsea ni sawa na LFC au Man City?
Yale magoli ya kuotea?
haya kaka, usiku mwema mkuu
Asante kaka..
Leo mbereko haikuwepo, afu yule Kompany yule....
Manchester United fans singing "Sacked in the morning, you're getting sacked in the morning" to Manuel Pellegrini.
Kwa alivyo chukia yule Ustaadhi sijui kama atamuacha salama. Nina uhakika yuko na kikao kizito mmojawapo akiwa ni muhasibu mkuu anatakiwa kuweka mahezabu yake vizuri kabisa.
Arsenal chama kubwa, mziki wake unaujua.
Ya kwenu ya kuotea yapo wap?
Naona FA imekupa kiburi, huo mdomo uliwahi kuwaponza mkageuzwa Coastal Union ya England.