Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Man U ya hovyo hovyo ya beki akina Blackett hukumfunga ndiyo awe Man U huyu aliye pick up ?
Kumbuka kipindi hicho Chelsea alikuwa kwenye kiwango kikubwa sana cha Costa na wenzake!Nimewaona na Stoke na QPR aibu tupu!Mnategemea makipa wafanye makosa mfunge
Drogba hawezi msunbua beki Jones hata wacheze dakika 300»»»fact
Tulikwenda OT bila ya Costa na huyu huyu Drogba unaemzarau akatupia...au unajifanya umesahau?
Hiyo pick ya ManU ni kwa timu yako tu na man city lkn juzi tu Arsenal kuwapiga hawa ManU na kikosi hichi hichi kilichokupiga wewe tena OT kwao...sasa ndio ije itutishe sisi tuna kila kitu alafu tuko home?!!?
Mtasubiri sn aiseee.