Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Hahahahaaaaaaaa....sasa kama Spurs alipiga mkono unategemea nini kwa Man U.
Tatizo mnaongea tu bila kuangalia ukweli!
Spurs alikuja darajani nikamfunga goli 2 bila na nikaenda kwake akanifunga goli 5 kwa tatu...hapa huoni km tuko sawa?
Alafu fainal ya Capital One nikamfunga 2 bila...nani mbabe hapo?