Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huwa wanafungwa na wazee wakumbushe hattrik ya etoo, na hizo beki zao zenye viuno vgumu visivyonyumbulika(Valencia) hazard ataleta shida
Man U wapo vyema kwa sasa,tusiwaonee husuda na tuwe wakweli

Chelsea kwa kiwango hiki chao cha sasa anafungwa pale pale darajani!Sorry mpwa wangu Ntuzu kusema haya
 
Last edited by a moderator:
Yaya Toure kiungo bora England leo kalala na viatu kwa muziki mnene wa Fellain, alishusha pumzi baada ya LVG kumpumzisha vinginevyo hata bao la pili wasingelipata. Sasa pale chelsea nani wa kuzuia Fellain, Young wakati huo Matta ana hasira nao ile mbaya.

Hakuna chochote hapo, Fellain si mali kitu mbele ya chelsea, wewe mwenyewe utamshangaa, Mata alikosa namba pale, hata leo hawezi pata namba. Man u mmepumua kidogo lakini jumamosi hesabuni maumivu! Hapo ndipo panaitwa darajani mwisho wa reli!
 
Man U wapo vyema kwa sasa,tusiwaonee husuda na tuwe wakweli

Chelsea kwa kiwango hiki chao cha sasa anafungwa pale pale darajani!Sorry mpwa wangu Ntuzu kusema haya
Kucheza vizuri wanacheza vizuri since reintroduction of Mata, Carrick na Herrera. Lakini for the good of rivalry tutachukiana kuhusudiana hadi kiama Malafyale wewe ni mnazi mkubwa wa Liverpool kama nilivyo kwa Arsenal there's no way tuwasifie au kufeel okay kwa turn around yao. I'm sure watafeel the same way Liverpool and Arsenal wakicheza vizuri. Mfano mzuri tangu resurgence ya Arsenal ya January to hivi sasa is not setting up right with them. Ndio rivalry ya soka ilivyo hate-hate, dislike -dislike, tutashake mikono ya "it was an interesting season, see you next season" msimu ukiisha, lakini hivi sasa ni hate-hate tu nakuwishiana rival apoteze points mechi inayofuata.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Chelsea ana vikombe vingapi maana tusiwe tunabishana na tutimu twa tukombe twa kubahatisha bahatisha hutu....

Man u ilishaishia siku nyingi, ukitaka kuitafuta nenda kwenye jumba la makumbusho wala siyo kwenye uwanja wa kandanda! Nenda kahesabu vikombe vya man u kwenye jumba la makumbusho. Vikombe vilivyoko jumba la makumbusho vinakufaa wewe peke yako! Ukibisha njoo navyo pale darajani jumamosi ijayo uone kama vitakusaidia!
 
ImageUploadedByJamiiForums1428898275.590719.jpg
Huyu jamaa bana!! Kweli ilikuwa ni UNITED V/s The WORLD, sa sijui alipoona zile 4-1 alizirai maana alianza kuleta matokeo ila kabla hata ya mwisho wa siku akapotea...!!
#ManchesterIsRed
 
Premier League goals 2014/15:

> chrissmalling = 4
> Mario Balotelli = 1
 
Last edited by a moderator:
Kwa alivyo chukia yule Ustaadhi sijui kama atamuacha salama. Nina uhakika yuko na kikao kizito mmojawapo akiwa ni muhasibu mkuu anatakiwa kuweka mahezabu yake vizuri kabisa.

Morinho asubiri kufukuzwa baada ya kukosa ubingwa msimu huu
 
Teheteheheheeeeeee....mkuu mbona unasababisha nyongo kwa wasaga sumu zipande bila sababu?

Kwa rekodi hii Duniani hakuna Kocha mwenye hadhi ya kufunga hata kamba za viatu vya Sir Alex Ferguson.

Uzuri wa United ni kwamba msimu mmoja tunapotea misimu mingine mitatu mfululizo tunachukua kombe. Arsenal ndo amevunja rekodi ya kushangilia kuingia top four, Liverpool ushindi wake ni kuifunga united tu.

So msimu huu tunaua walio mbele yetu
 
Hivi Chelsea ana vikombe vingapi maana tusiwe tunabishana na tutimu twa tukombe twa kubahatisha bahatisha hutu....

Kuna teams hazina tofauti na aston villa. Wana mdomo sana.

Abrahmovic na Yule sheikh wakiondoka basi Chelsea na Man City watafungwa kila siku.
 
Hakuna chochote hapo, Fellain si mali kitu mbele ya chelsea, wewe mwenyewe utamshangaa, Mata alikosa namba pale, hata leo hawezi pata namba. Man u mmepumua kidogo lakini jumamosi hesabuni maumivu! Hapo ndipo panaitwa darajani mwisho wa reli!

Mata aliuzwa kwa fitna tu. Hakuna technical reason. Sahv mata anaperform.
 
LVG: "Now the results are coming back, it's great to be a supporter of #MUFC right now and that is the most pleasant memory of the game.”
 
Back
Top Bottom