grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Chelsea bana leo Austin tuu kawatoa kijasho, nani was kumzuia Fella pale?
Yaya Toure kiungo bora England leo kalala na viatu kwa muziki mnene wa Fellain, alishusha pumzi baada ya LVG kumpumzisha vinginevyo hata bao la pili wasingelipata. Sasa pale chelsea nani wa kuzuia Fellain, Young wakati huo Matta ana hasira nao ile mbaya.