Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hizi subs leo...ila Rojo alikuwa na yellow..

Na hyo yellow lvg ndo kamtafutia kwa kumlazmisha kucheza na. Tatu wakati alikuwa amepamudu kati katika kpnd cha kwanza sikuona haja ya kumuingza jones. Na rojo kupelekwa pembeni
 
Asante ndugu yangu wacha nao leo waweke rekodi hata hivyo tumewatesa sana,zamu yao kutesa,refa wa leo wamkumbuke katika ufalme wao.....

Dada team yako ni mbovu!Hata mngepata replay leo bado Emirates mngetolewa tu na kumbuka huwezi kubahatisha kila game
 
Tumecheza vizuri ila mistake ndogo tu imefanya kupoteza mchezo huu....
 
Naona lvg anamalizia kuvunja rekodi alizozibakisha moyes

teh teh teh

next game vs spurs
 
Dada team yako ni mbovu!Hata mngepata replay leo bado Emirates mngetolewa tu na kumbuka huwezi kubahatisha kila game

Kaka timu si mbovu LVG sijui vipi anawachanganya sana vijana,vijana ni wazuri ila wanashindwa kucopy na falsafa yake,halafu kiburi na dharau vimemzidi sana hata akishauriwa hakubali.
 
Refa alikuwa fair tu michezaji inacheza uyadhani imekula urojo mingine inajiangusha tu bila sababu pumbavu lvg out leta kocha mwingine

ofcourse leo lvg kachemka ila hatuwez kila mwaka tukawa tunatimua kocha.tutakuwa hatuna direction na hatutengenez wala kujenga kitu,above all hyo sio kariba yetu man u
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
DonDonald msg imetimia sio. Nilisema ukiona jua linazama ujue mwanzo wa siku mpya unafuata. Haya huu ndio mwanzo na mwisho wa "uteja".
Nzi, Belo, Mfarisayo, RRONDO

Hongera mkuu kwa ushindi

Kuhusu hii meechi na mambo mengine nitarudi baadaye , wacha nikapige mishemishe kidogo

Ila ...
 
Game nyingi sana team selection na sub za LVG ndio zinasababisha tunafungwa,game ambayo unatakiwa ushinde kwa nini unampanga Fellaini no 10 unamuacha Mata.Beki yetu inajulikana ni mbovu so tunapaswa kuwa tunatengeneza nafasi na kufunga magoli mengi,EPL sio michuano umefungwa kocha umekaa jukwaani.Kocha anaboa sana
 
kocha yupi mkuu? tunahitaji kocha mwenye uchu wa hindi kama Simeoni, Gardiola au the special one. LVG anachosha anaona gemu imetuelemea bado hafanyi sub nzuri.

match alizofanya sub nzuri zinahesabika.
 
Back
Top Bottom