Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

cisse ni kosa lake la pili msimu huu, adhabu ya kutema mate ni mechi 6 plus 1 ya kurudia kosa kubwa. evans yeye ndo kosa la kwanza kala 6 kavu.

incase cisse akifanya kosa jengine kubwa adhabu inaongezeka zaidi kama surez vile

Hawajafungiwa kwa sababu ya kutema mate bali kutemeana mate. Ama kweli Kiswahili si lugha yenu.
cc. BAK
 
Yatayotokea leo uwanja wa taifa ndo yatatokea kesho jumatatu, endapo yanga atamfunga simba bac lazima man u afe kwa goons. Vice versa is true.

Jibu unalo sasa...Yanga kapakatwa...kesho goons kama kawa, anajilengesha mwenyewe kama mbwa kwa chatu..
 
rubaman

Nimeona msg yako..... ninachokuomba baada ya dakika 90 utekeleze ahadi yako
 
Last edited by a moderator:
mkuu mbna sikusomi,?
kivip wkt man utd ni ya nne?

swali la msingi watakaa hapo hadi mei mwisho wa ligi ? hawawezi , atatolewa tu na liverpol kwa sababu mani ana game nne ngumu ambazo hawezi kushinda zote wakati liverpol ana mechi mbili ngumi . ndio maana nikasema man kucheza uefa mwakani ni ngumu kama ilivyo ngumu kupata damu toka kwenye mwamba.
 
Back
Top Bottom