Yeah
Di Maria kapewa kadi mbili za njano mfululizo
kujiangusha "according to refa" na kumvuta shati refa
Nyakati hizi ndo hunifanya nimkumbuke babu Feg
Enzi hizo za kina Beckham.....lol tujipoze machungu tu.
Huyu huyu refa aliguswa kwa kichwa na Joe Hart lakini hakutoa hata yellow!
Anyway tukubali wapendwa, mlale unono......
Man u for life,sioni wapi ambapo arsenal wanaweza kutufunga.