Sub za van Gaal pasua kichwa
Hizi subs leo...ila Rojo alikuwa na yellow..
Kila siku huwa najiuliza de gea kafanana na nani leo nimekumbuka!!kafanana na lile katuni la kichina Shifoh
Hiyo red card kama sijaielewa hivi
Hivi ile first half si kadi alipewa Herrera ama?
Hivi ile first half si kadi alipewa Herrera ama?
Hiyo red card kama sijaielewa hivi
Hivi ile first half si kadi alipewa Herrera ama?
Hivi ile first half si kadi alipewa Herrera ama?
kapigwa Yellow kwa kuDive, then akaenda kumsukuma Refa kwa nyuma, hapo ndo akapigwa Red!!!
Kapigwa RED kwasababu ya kumsukuma Refa!