Dah kufungwa na Arsenal aibu kubwa sana
Bila shaka utakuwa unatafuta kamba ya kujinyonga sasahivi....Hahhaasiyapend machelsii nayachukia na hii tm ya wenga aiwez kushinda OT
ila tumesajili bonge la kocha, hatuna wasiwasi.
Wndelea kujifarijiila tumesajili bonge la kocha, hatuna wasiwasi.
Nyie wa Kufa tu...Poa...hongereni goons...leo mmetuweza
Nyie wa Kufa tu...
ila tumesajili bonge la kocha, hatuna wasiwasi.
Carrick amefanya timu icheze defensive zaidi....Herrera alikuwa anapeleka niamsheniamshe...