everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Mtani nimekuja mara moja kukupa pole. Usijali ntakulipizia.
Mtani acha tu njoo unipoze moyo jamani ahhh!! Maneno matupu hayanitoshi.....
Mtani nimekuja mara moja kukupa pole. Usijali ntakulipizia.
Game nyingi sana team selection na sub za LVG ndio zinasababisha tunafungwa,game ambayo unatakiwa ushinde kwa nini unampanga Fellaini no 10 unamuacha Mata.Beki yetu inajulikana ni mbovu so tunapaswa kuwa tunatengeneza nafasi na kufunga magoli mengi,EPL sio michuano umefungwa kocha umekaa jukwaani.Kocha anaboa sana

Alichemsha subs...ila dah! Sasa itabidi tukomae angalau kucheza UCL next season...
Akishindwa kuipeleka timu UCL, basi itakuwa ni failure kwa LvG...
match alizofanya sub nzuri zinahesabika.
Nzi wewe huwa unamtetea LVG umeona mambo yake leo? mi kwakweli kwa leo ndo amenichosha kabisa yaani kanitibua nyongo haswaaAlichemsha subs...ila dah! Sasa itabidi tukomae angalau kucheza UCL next season...
Akishindwa kuipeleka timu UCL, basi itakuwa ni failure kwa LvG...
for sure without a doubt,atuachie usanii tunataka top four afe mchezaj afe trainer top four lazma kinyume chake timu imemshnda,atuachie siasa zake kwamba timu haijengwi kwa mwaka mmoja
Game nyingi sana team selection na sub za LVG ndio zinasababisha tunafungwa,game ambayo unatakiwa ushinde kwa nini unampanga Fellaini no 10 unamuacha Mata.Beki yetu inajulikana ni mbovu so tunapaswa kuwa tunatengeneza nafasi na kufunga magoli mengi,EPL sio michuano umefungwa kocha umekaa jukwaani.Kocha anaboa sana
So far the best thing alichofanya ni kupunguza magarasa (Cleverley,Wellbeck,Anderson etc) but so far sijaona improvement yeyote kwenye timuLVG ni bonge la kocha
Ila akiendelea na kiburi chake hiki...... mkataba wake wa Miaka 3 hautafika mwisho
Wakaanga sumu leo mmepata cha kuongea naona mtakesha.
Muda wa kukodisha "EDIKOPTA" na kupeperusha bango la LVG the Caveman OUT!!!!! Afu naona £59.7 M anazidi kudhihirisha kuwa ni bonge la flop kuliko Bebe
So far the best thing alichofanya ni kupunguza magarasa (Cleverley,Wellbeck,Anderson etc) but so far sijaona improvement yeyote kwenye timu
Leo ndo nimejua tuna maadui wengi sehemu kubwa ya Chelsea na Liver walikuwa washangilia Ars wamefurahi sana tulivyotoka,kumbe sisi ni tishio eeh?