Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mh!!! Sub zimekuja mapema sana alafu kocha anapenda kupoteza nafasi za sub bila sababu kwa kufanya sub za mabeki ambazo hazileti tija kwa timu

Tuombe Mungu,sometime LVG ananiumiza kichwa kweli......
 
Leo Rooney kafunga goli la 14 dhidi ya Arsenal rekodi ya kuifunga timu moja magoli mengi kuliko nyingine

Rooney anapenda sana kucheza na Arsenal kama Man Utd inavyopenda kila week iwe inapangiwa kucheza na Arsenal
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Kila siku huwa najiuliza de gea kafanana na nani leo nimekumbuka!!kafanana na lile katuni la kichina Shifoh
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Dah Shaba Ranks katufunga

Halafu anashangilia.... afadhali tulivyomuuza tuu
 
LvG si alisema Welbeck hafungi magoli akamuuza ? Haya sasa ..
 
Back
Top Bottom