DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,542
- 2,741
Valencia anapoteza malengo ya kukaba kwa kwenda kukaba zone sio yake
Mara ya pili ninaona kwenye hii mechi anakuwa anasahau sehemu yake
Kama hilo goli alikuwa utafikili ni beki wa kati
Valencia anapoteza malengo ya kukaba kwa kwenda kukaba zone sio yake
Man u for life,sioni wapi ambapo arsenal wanaweza kutufunga.
sasa mpaka tunafungwa na Arsenal tena OT...kweli timu hatuna kabisaaaa
Well Done Wayne
1-1
What a ball from Di Maria...
Mtendee haki na Valencia pia
Dk. ya 35 bado 1-1
Leo mwenzio hata kuripot nashindwa,mi ntakuwa nagonga like tu.
Leo mwenzio hata kuripot nashindwa,mi ntakuwa nagonga like tu.
Leo mwenzio hata kuripot nashindwa,mi ntakuwa nagonga like tu.
siyapend maaseno km nini
siyapend machelsii nayachukia na hii tm ya wenga aiwez kushinda OT