Asante LvG kwa kunisikiliza....
Duuuh! Naona leo Maiti kachana Sanda!!!
Ila pale kati pako poa sana...wasiwasi ni beki aisee...tunahitaji mtu kama Hummels pale nyuma...ngoja tuone Januari...
Hahahahaha lol!!! Mmefufuka leo kwa kukutana na jamvi la EPL? Hivi baada ya kutia kibindoni hizi 3 points ndio mnakuwa na points ngapi vile? Na mnapanda mpaka nafasi ya ngapi vile?
[MENTION=111500]mndengereko upo wapi brother??
RVP akaze sasa. Asitie aibu.
Na mashabiki walivyokuwa wanamshangilia nahs atalala meno yote njeMaria ananikosha sana.
sio mbaya tutawapa pound m10 zaidi mwisho wa msimuMadrid wangeongeza pesa aisee. Hii ya di maria ilikuwa ndogo sana. Hahahahahhahaha
.......mgonjwa kanywa uji, wanafamilia wanaanua matanga!