Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ushindi wa kwanza baada ya siku nyingi umewatoa watu toka katika self-induced Coma

CC: DonDonad, Belo, Mndengereko
 
Ningekuwa mimi ni LvG ningemtoa Di Maria na kumwingiza Januzaj...Di Maria keshafanya kazi yake...
 
Leo mpira umechezwa aisee. Wachezaji wanaongeza confidence na team chemistry inaongezeka.

Safi sana van gaal.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hahahahaha lol!!! Mmefufuka leo kwa kukutana na jamvi la EPL? Hivi baada ya kutia kibindoni hizi 3 points ndio mnakuwa na points ngapi vile? Na mnapanda mpaka nafasi ya ngapi vile?

Pole pole ndo mwendo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ningekuwa mimi ni LvG ningemtoa Di Maria na kumwingiza Januzaj...Di Maria keshafanya kazi yake...


Nakuunga mkono kaka. Wameshaanza kumpania. Wanaweza kumuumiza. Apumzike Januzaj kishet aingie watu wapewe kadi.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Van G ampumzishe na Malaika atatusaidia kwenye mchei nyingine

**

Daah kaliona hilo kabla sijapost
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mhhhh! Kwa speed hii mtaishia njiani kwa mara nyingine tena mkija stuka nne bora za EPL zimeshapatikana na nyie mnarudi tena kwenye namba yenu maarufu ya mshindi wa saba lol!!!!. Ngoja tuone na mwendo wenu wa kikobe kobe mtafika wapi lol!!!!

Pole pole ndo mwendo
 
Back
Top Bottom