Kusema ukweli hapo kati tumeimprove
#WakaangaSumu hata mechi bado haijaisha washaanza kuliogopa jukwaa..!! Tungekuwa tushachezea humu pangekuwa jukwaa lao
Kusema ukweli hapo kati tumeimprove
Hahahahaha lol!!! Mmefufuka leo kwa kukutana na jamvi la EPL? Hivi baada ya kutia kibindoni hizi 3 points ndio mnakuwa na points ngapi vile? Na mnapanda mpaka nafasi ya ngapi vile?
Ht
3-0
It's just QPR msijipe matumaini feki.