Kusema ukweli hapo kati tumeimprove
mnacheza na vibonde
Kusema ukweli hapo kati tumeimprove
Eti United imepoteza identity yake kwa kumuuza Danny!!! #WakaangaSumu bana. Wanasahau kuwa toka mwaka 1937 kila mechi za ligi, kuna mchezaji mmoja wa kutoka kwenye Academy ya United kwenye starting 11. Leo yupo Blackett (true Mancunian) akiwakilisha.
Mapungufu yetu yanakuhusu nini #MkaangaSumu si inabidi ufurahie mapungufu yetu? 
Kwahiyo mapungufu yetu yanakuumiza ama?
Another typical #MkaangaSumu
Eti United imepoteza identity yake kwa kumuuza Danny!!! #WakaangaSumu bana. Wanasahau kuwa toka mwaka 1937 kila mechi za ligi, kuna mchezaji mmoja wa kutoka kwenye Academy ya United kwenye starting 11. Leo yupo Blackett (true Mancunian) akiwakilisha.
Naomba uchambuzi wako wa fasta
Wapi pabovu....
Wapi panahitaji improvement
Nani atoke
Nani aingie
Tunaweza kuexploit weakness gani kwa qpr?
Asante sana, uko team wakaanga sumu au nawe mshindani???
Eti United imepoteza identity yake kwa kumuuza Danny!!! [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=WakaangaSumu]#WakaangaSumu [/URL] bana. Wanasahau kuwa toka mwaka 1937 kila mechi za ligi, kuna mchezaji mmoja wa kutoka kwenye Academy ya United kwenye starting 11. Leo yupo Blackett (true Mancunian) akiwakilisha.
blind....herrera...pale...kati...wanawakilsha...vema...