Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bulldog yeah RVP inabidi afunge goli ili arudi kwenye hali aliyozoea ya kutikisa nyavu
Pia kufunga kvamwongezea kujiamini na kupunguza pressure

Ushindi wa kwanza baada ya siku nyingi umewatoa watu toka katika self-induced Coma

CC: DonDonad, Belo, Mndengereko
Endelea kuota hvyohvyo, wish kila siku iwe week end ili ushuhudie dozi tunazozigawa

Blind, pokea shikamoo yangu pia...
mi shkamoo yangu leo nampa rojo ametulia sana huyu dogo,pia shkamo nyngne imwendee herrera yuko makini sana,di maria kama kawa ataendelea kuwatoa damu mpk waombe poo
Valencia unafanya nin?? Watu walikuwa wameshajaa kati.
mwache aendelee na upuuzi wake benchi litamwita nje
Dogo Januzaj kawa mchoyo pale, dah!!!
sijui kwa nini hataki kukua huyu dogo dah,kila siku selfishness haimwish
Duuuh! Naona leo Maiti kachana Sanda!!!
na bado mpk jeneza atavunja
.......mgonjwa kanywa uji, wanafamilia wanaanua matanga!
mpk ugali atakula tena mwenyewe wala sio kwa kulishwa tena wa muhogo
DonDonald naona ushindi wa kwanza umewarudisha wengi hapa. Ushindi wa tatu mtarudisha chata la "MANCHESTER UNITED HATUSHIKIKI"

Tusaidie kututafutia chata kabisa ikifika mwezi wa tano tunakaribia kutawazwa mabingwa
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi lol!!! Wameifunga timu ya kata wanajipongeza kwa sana utadhani wamewafunga mabingwa wa dunia.

Acha hizo wewe as long as wako kwenye ligi si wadogo hao!! Mbona Leicester walipotufunga mlisema sana kwamba tunafungwa na kitimu kidogo kama ile. Mwendo mdundo ndo safari imeanza hivyo,haters mjipangeeee!!!
 
Wacha na na hii Red Cross Team, timu zinajiandaa kwenda kucheza CL .. .. ... .... . .
 
Kilicho baki ni kujipongeza tu. Waiteeeeerrrrr nipatie ile inayommetha methieee.
 
nilisema tutaheshimiana tu mwaka huu.....ANDER HERRERA ni balaa,sasa tuna scoring midfielder....DALEY BLIND ni kama alikuwepo kwenye hii timu misimu mitano....ROJO[say ROHO] huyu hata alikuwa humuoni uwanjani maanke hana mistake yoyote na yeye utafikiri alikuwepo premier league misimu mitano iliopita.....DI MARIA im speechless tulichokikosa kwa Ronaldo alivyoondoka nakiona kwa DI MARIA.....Falcao ana kazi rahisi sana kumalizia pasi za DI MARIA kama alivyofanya JUAN MATA leo....ROONEY business as usual....VAN PERSIE asije kulaumu mtu kwa mpira huu lazima ainue kiwango chake otherwise benchi linamuhusu.....

kwa kweli si ushindi tu ulionifurahisha ni ile perfomance,timu ndani ya wiki mbili ishajengeka 'diamond' pale katikati inavyofunguka na kufunga ni balaa yaani utafikiri walikuwa wanafanya mazoezi pamoja kwa mwaka mzima.....

najua #WakaangaSumu watasema its just QPR lakini hizi ndio timu ambazo kama timu yako ni nzuri unapiga goli si chini ya tatu na tumewapiga nne pengine zingekuwa hata 8 kama tusingetoa mguu kwenye gas!!!!!!!!

cc: Ntuzu agosti 8 rubaman MosDef Mndengereko DonDonald Belo Nzi pierre fm
 
Last edited by a moderator:
[h=1]Premier League: Manchester United click again as they crush Queens Park Rangers[/h]
angel-di-maria-wayne-rooney-manchester-united-qpr_3204181.jpg
Angel di Maria: Scored one and was involved in another two

New-look Manchester United rediscovered their spark as they crushed hapless Queens Park Rangers 4-0 at Old Trafford.
Angel di Maria, at his creative best, opened the scoring on his home debut, with another summer signing, Ander Herrera, club captain Wayne Rooney and Juan Mata also getting in on the act.
[h=4]Best of the match[/h]
  • Man of the match: Angel di Maria. Dazzled on his home debut. Netted a fortuitous goal but pulled the strings as United dictated from the start.
  • Goal of the match: Ander Herrera rounded off a free-flowing counter attack led by Di Maria and taken on by Rooney, with the Spaniard teed up to drill low into the bottom corner.
  • Pass of the match: Di Maria's vision was a joy to behold and one audacious flick with the outside of his left boot almost saw Robin van Persie volley in a fifth.
  • Moment of the match: Radamel Falcao's introduction brought the Old Trafford faithful to their feet and highlighted how many attacking options Louis van Gaal now has at his disposal.
  • Talking point: Can United fire themselves into the title race on the back of this result? Have QPR got enough about them to steer clear of trouble?

Louis van Gaal has spent big in an effort to turn United's fortunes around and, with Marcos Rojo and Danny Blind thrown in from the start and Radamel Falcao introduced off the bench, the Dutchman got the response he was looking for as the hosts dominated against a visiting side which included former favourite Rio Ferdinand.
It took 24 minutes of patient probing for the deadlock to be broken, with Di Maria swinging over a curling free-kick from the right which dipped over the heads of those inside the box and nestled into the back of the net.
Herrera doubled the advantage on 36 minutes, with the Spaniard drilling low into the bottom corner after being picked out by Rooney.
The England captain then added his name to score sheet on the stroke of half-time, reversing a shot inside the near post, before Mata wrapped things up just before the hour mark as he gathered a driven cross-shot from Di Maria and calmly lifted the ball over an onrushing Robert Green.
Excitement
Despite the public excitement surrounding the arrival of Falcao, Ferdinand received the biggest reception from the home fans before kick-off.
The former United centre-half, who complained he was not given a proper send off in the summer, received a huge ovation as well as a present from Sir Bobby Charlton just before kick-off.
english-premier-football-wayne-rooney-manchester-united_3204208.jpg
Wayne Rooney: Skipper, along with Ander Herrera, got in on the act

After the first whistle sounded, it did not take long for Ferdinand's old team-mates, and United's new signings, to put him under immense pressure.
Mata raced down the left and whipped in a perfect ball for Rooney, but mis-controlled and Ferdinand hooked the ball clear.
Van Gaal wrote in his pre-match notes that he was worried about nervousness gripping his players at Old Trafford, but that was certainly not the case on Sunday.
United passed the ball quickly and confidently, and they tested the away defence with a series of teasing crosses.
Herrera pulled the ball back to Mata after a clever nutmeg from Rafael, but the former Chelsea man skied his shot.
Down the left, Rojo lobbed the ball to the back post where Herrera cocked his right leg back ready to fire a volley at goal, but Van Persie clumsily nicked the ball away from the Spaniard.
juan-mata-manchester-united-qpr-radamel-falcao_3204204.jpg
Radamel Falcao: Introduced off the bench for his Manchester United debut

Pressure
With so much pressure on them, it only seemed a matter of time before QPR conceded, and they did in the 24th minute.
After a needless foul on Herrera by Clint Hill, Di Maria whipped a curling ball over the heads of four players and the ball drifted in past Green at his far post.
Within a few minutes of Di Maria's first United goal, the hosts almost handed QPR a route back into the match. David De Gea, usually such a calm operator, raced out of the box trying to clear a long punt up field from Niko Kranjcar.
The goalkeeper failed to communicate with Jonny Evans and the ball fell to Matt Phillips, but he failed to turn the ball into the empty net and United's fans breathed again.
Those same fans were up on their feet moments later when United moved 2-0 ahead.
Once again Di Maria played an important part, racing 50 yards down the left before playing Rooney in with a lovely pass between two defenders. The striker's shot was blocked, but he then squared to Herrera, who drilled the ball past Green.
The Stretford End demanded United attack and they did. Just before half-time Rooney made it 3-0.
Delicious
Herrera played a delicious one-two with Mata and he touched the ball off to Rooney, who powered a low shot past Green.
QPR boss Redknapp replaced Hill with Armand Traore at half-time and the former Arsenal defender made an immediate impression, driving at the United defence with a long run. He squared to Kranjcar, who shot at goal, but De Gea stuck his right foot out just in time.
A large number of United fans rose to applaud Falcao as he warmed up on the touchline. Those whose focus remained on the game watched United bag a fourth.
Di Maria adventurously attempted a 25-yard effort which instead landed straight at Mata's feet. The Spaniard, three yards clear of his nearest marker Ferdinand, tucked the ball past Green from 10 yards.
Falcao came on with 23 minutes to go to link up with Rooney and Van Persie in a devastating front three.
United's defensive vulnerabilities were highlighted when Tyler Blackett moved aside to allow Eduardo Vargas to shoot on goal, but he dragged his effort wide.
Di Maria cramped up and had to come off with 10 minutes to go.
Green spilled Blind's long-range shot in the dying minutes, but Falcao could not get there in time to score a debut goal, not that it mattered.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Leo kipofu kaona mwezi!" kumfunga QPR ndio kama mmeshachukua ubingwa vile ............. mechi y QPR haina utofauti na zile mechi za pre-season kw hiyo msivimbe vichwa

Grand PA
 
nilisema tutaheshimiana tu mwaka huu.....ANDER HERRERA ni balaa,sasa tuna scoring midfielder....DALEY BLIND ni kama alikuwepo kwenye hii timu misimu mitano....ROJO[say ROHO] huyu hata alikuwa humuoni uwanjani maanke hana mistake yoyote na yeye utafikiri alikuwepo premier league misimu mitano iliopita.....DI MARIA im speechless tulichokikosa kwa Ronaldo alivyoondoka nakiona kwa DI MARIA.....Falcao ana kazi rahisi sana kumalizia pasi za DI MARIA kama alivyofanya JUAN MATA leo....ROONEY business as usual....VAN PERSIE asije kulaumu mtu kwa mpira huu lazima ainue kiwango chake otherwise benchi linamuhusu.....

kwa kweli si ushindi tu ulionifurahisha ni ile perfomance,timu ndani ya wiki mbili ishajengeka 'diamond' pale katikati inavyofunguka na kufunga ni balaa yaani utafikiri walikuwa wanafanya mazoezi pamoja kwa mwaka mzima.....

najua #WakaangaSumu watasema its just QPR lakini hizi ndio timu ambazo kama timu yako ni nzuri unapiga goli si chini ya tatu na tumewapiga nne pengine zingekuwa hata 8 kama tusingetoa mguu kwenye gas!!!!!!!!

cc: Ntuzu agosti 8 rubaman MosDef Mndengereko DonDonald Belo Nzi pierre fm

Teh teh teh teh teh teh wewe utaheshimiana na Burnley na Mk Dons tu.
Teh teh teh teh teh
BTW hongera kwa Ushindi.
 
Last edited by a moderator:
Leo kipofu kaona mwezi!" kumfunga QPR ndio kama mmeshachukua ubingwa vile ............. mechi y QPR haina utofauti na zile mechi za pre-season kw hiyo msivimbe vichwa

Grand PA

Hv hii quote umeandikiwa au umeandika mwenyewe au umeandikiwa!!! Maana sitaki kuamini kama kweli unaweza kuandika matapishi haya mbele ya kadamnasi
 
Hapo sasa na me ndio najiuliza sijui ilikuwa wapi maana kama ni mafuriko ni kitambo sana hatujayashuhudia hapa nchini.

I am always available,ukiona kimya ujue majukumu tu na mkoloni wangu wananibana ila am always available
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
nilisema tutaheshimiana tu mwaka huu.....ANDER HERRERA ni balaa,sasa tuna scoring midfielder....DALEY BLIND ni kama alikuwepo kwenye hii timu misimu mitano....ROJO[say ROHO] huyu hata alikuwa humuoni uwanjani maanke hana mistake yoyote na yeye utafikiri alikuwepo premier league misimu mitano iliopita.....DI MARIA im speechless tulichokikosa kwa Ronaldo alivyoondoka nakiona kwa DI MARIA.....Falcao ana kazi rahisi sana kumalizia pasi za DI MARIA kama alivyofanya JUAN MATA leo....ROONEY business as usual....VAN PERSIE asije kulaumu mtu kwa mpira huu lazima ainue kiwango chake otherwise benchi linamuhusu.....

kwa kweli si ushindi tu ulionifurahisha ni ile perfomance,timu ndani ya wiki mbili ishajengeka 'diamond' pale katikati inavyofunguka na kufunga ni balaa yaani utafikiri walikuwa wanafanya mazoezi pamoja kwa mwaka mzima.....

najua #WakaangaSumu watasema its just QPR lakini hizi ndio timu ambazo kama timu yako ni nzuri unapiga goli si chini ya tatu na tumewapiga nne pengine zingekuwa hata 8 kama tusingetoa mguu kwenye gas!!!!!!!!

cc: Ntuzu agosti 8 rubaman MosDef Mndengereko DonDonald Belo Nzi pierre fm

What else can i say,full happy
Cc;kwa wakaanga sumu wote
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom