Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

LoL! #Mburukenge wote leo mliokuwa mafichoni kutokana na poor performance of your team leo mmeshuka jamvini na mnachonga kupita kiasi utadhani mmechukua ubingwa wa EPL kwi kwi kwi kwi

What else can i say,full happy
Cc;kwa wakaanga sumu wote
 
LoL! #Mburukenge wote leo mliokuwa mafichoni kutokana na poor performance of your team leo mmeshuka jamvini na mnachonga kupita kiasi utadhani mmechukua ubingwa wa EPL kwi kwi kwi kwi


Hahahaha
 
nilisema tutaheshimiana tu mwaka huu.....ANDER HERRERA ni balaa,sasa tuna scoring midfielder....DALEY BLIND ni kama alikuwepo kwenye hii timu misimu mitano....ROJO[say ROHO] huyu hata alikuwa humuoni uwanjani maanke hana mistake yoyote na yeye utafikiri alikuwepo premier league misimu mitano iliopita.....DI MARIA im speechless tulichokikosa kwa Ronaldo alivyoondoka nakiona kwa DI MARIA.....Falcao ana kazi rahisi sana kumalizia pasi za DI MARIA kama alivyofanya JUAN MATA leo....ROONEY business as usual....VAN PERSIE asije kulaumu mtu kwa mpira huu lazima ainue kiwango chake otherwise benchi linamuhusu.....

kwa kweli si ushindi tu ulionifurahisha ni ile perfomance,timu ndani ya wiki mbili ishajengeka 'diamond' pale katikati inavyofunguka na kufunga ni balaa yaani utafikiri walikuwa wanafanya mazoezi pamoja kwa mwaka mzima.....

najua #WakaangaSumu watasema its just QPR lakini hizi ndio timu ambazo kama timu yako ni nzuri unapiga goli si chini ya tatu na tumewapiga nne pengine zingekuwa hata 8 kama tusingetoa mguu kwenye gas!!!!!!!!

cc: Ntuzu agosti 8 rubaman MosDef Mndengereko DonDonald Belo Nzi pierre fm


Hujanitaja mkuu. "kidding"

I love the performance. It was awesome. Nataman kila siku niiangalie united ikicheza
 
Last edited by a moderator:
Leo kipofu kaona mwezi!" kumfunga QPR ndio kama mmeshachukua ubingwa vile ............. mechi y QPR haina utofauti na zile mechi za pre-season kw hiyo msivimbe vichwa



Grand PA


Clean sheet looser. 3 points netted. Wew baki na loss ya aston villa wako
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
LoL! #Mburukenge wote leo mliokuwa mafichoni kutokana na poor performance of your team leo mmeshuka jamvini na mnachonga kupita kiasi utadhani mmechukua ubingwa wa EPL kwi kwi kwi kwi

Leo wamefufuka wote mkuu si unajua kitu adimu kinapotokea, ni kama vile kwa siye tuliokulia Uswazi miaka ile mpunga hadhi yake siku ukipikwa mtaani inakuwa balaaa lazima vijana waibuke kutoka kila kona.
 
khe khe khe khe khe khe khe.......
cb1302a9-c01f-4b52-8392-55436864a409-620x372.jpeg

a05f00fa-d9b1-4c80-898f-10447e75147a-620x416.jpeg

36ffcb13-7d47-4784-8833-715992468fa4-620x372.jpeg
 
Acha hizo wewe as long as wako kwenye ligi si wadogo hao!! Mbona Leicester walipotufunga mlisema sana kwamba tunafungwa na kitimu kidogo kama ile. Mwendo mdundo ndo safari imeanza hivyo,haters mjipangeeee!!!


Aston Villa wamechukua points 3 jana kwa team kubwa. Halafu wanaidharau united.
 
di maria...
adeb2231-a143-4811-8e14-a7e1b3020f72-620x416.jpeg

hi fives.....
9e3f5c68-359f-43e4-a29f-c6d9a98e3a8e-620x442.jpeg

rojo...say roho...wetu
82a58f47-4a6f-4666-86d8-af3cdf5ed679-620x396.jpeg

kisiki...
cdc89a04-5314-44fc-9a8c-a92aef94587d-344x480.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
#Fact

EPL yote inatishika kutokana na mziki wa Man Utd

#Fact

Kipigo kama cha leo timu nyingi zitachezea including so called Big Teams
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Sure mkuu,evans ana makosa madogodogo meng sana. Ambayo yanakera mno,na jones nae majeruh hayamwishi kila baada ya mwezi, 4 sure tunahtaj kuongeza cb.


Ingia goal.com nimeona post kuwa van gaal anamtaka humels. Kesho nikiwa na computer ntawawekea. Nimefarijika sana Nzi
 
Last edited by a moderator:
​Hahahahaha lol!!! Mkuu unahitaji kutumia akili kuona kwamba aliyekuwa mfu kafufuka? Kwi kwi kwi lol!!!

Hahaha katika wakaanga sumu wote wewe ndo unayeongoza kuwa na akili,sijui kwa nini wenzako hawataki kuiga mfano wako!!! Hasa BAK na Wacha1
 
Tusubiri mechi na top ten /wameanza na timu zote nyanya (Burnley, QPR, Sunderland, Swansea) na wiki ijayo Leicester
 
Back
Top Bottom