Kusema ukweli hapo kati tumeimprove
Hapo tunatest mic. Subiri tuanze kuflow sasa.
Hivi vitimu vikitukomalia ooh Man wabovu.tukivifunga ooh mnaonea. Mnadhania ubingwa unapatikanaje? Unatakiwa kupata maximum points.
Mtajijuuu
Hahahahaha lol!!! Mmefufuka leo kwa kukutana na jamvi la EPL? Hivi baada ya kutia kibindoni hizi 3 points ndio mnakuwa na points ngapi vile? Na mnapanda mpaka nafasi ya ngapi vile?
Hivi vitimu vikitukomalia ooh Man wabovu.tukivifunga ooh mnaonea. Mnadhania ubingwa unapatikanaje? Unatakiwa kupata maximum points.
Mtajijuuu
Naomba ushindi huu uzidi kuwapofua macho msahau mapungufu mliyonayo.
Tumeanza league mkuu. Tumewapa welbeck na tunawachapa nae
Tumeanza league mkuu. Tumewapa welbeck na tunawachapa nae
Hapo kati kumeimprove sana. Tunahitaji goal getter. Rvp amekuwa diluted
Naomba ushindi huu uzidi kuwapofua macho msahau mapungufu mliyonayo.
Muendelee kupofuliwa na huu ushindi dhidi ya relegation contenders