Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

...Congratulation Red Devils wote,

I hope mtafanikiwa tena kutwaa EPL mwaka huu. Kila la heri.
Arsenal tushawasindikiza vya kutosha,

kwaherini!
 
Congrats Man u fans. You have vividly and brutally exposed Arsene Wenger's title ambitions.
 
...Congratulation Red Devils wote,

I hope mtafanikiwa tena kutwaa EPL mwaka huu. Kila la heri.
Arsenal tushawasindikiza vya kutosha,

kwaherini!
Hapo ndiO unapokosea, sema Chelsea for EPL Championship!
 
duuh ManU wanatisha aisee.....hongereni sana Belo, Manda na Mkuu Icadon
 
JiSung-Park-Manchester-United-Premier-League_2413875.jpg
 
Hehehe ngoja wenye jukwaa tuendelee kujipongeza pembeni.
 
Hongereni watani........bt kunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi...... bado kuna mechi zaidi ya 13! anything can happen men!
 
Dawa ya Arsenal ni kumkaba Fabregas tu, na kazi tulimpa Fletcher
 
Chelsick wamedroo😀🙄....na jumapili nawaombea 'ndugu' zetu asenali ushindi mnono.
BTW: Kuna mtu anaitwa Manda anawasalimia sana kina Ab, Mbu etc...yupo Kilosa (si mnajua tena mafuriko? Internet ilizolewa)
 
Am back mkuu, just 'now now', ila Ze Gonaz wakifungwa watoka nduki hata jamvini siwaoni, at least Mbu, huyu mkweli 'mbu', hata chandarua cha 3-1, anapenya tu.
BTW; Mjomba Ab Tchaz, salaamu zetu umepata? , ukiona mwenzio ananyolewa wewe........'
 
Man Utd 5- Portsmouth 0!..
Macho yote kesho kati ya The Gunners Vs Chelsea..Sina utabiri)):
 
Maisha ni kama Talanta, asiye kuwa nacho hata kile kidogo hunyang'anywa, poor them. Although wamekuja mda mbaya, OT, kipindi ambacho tupo 'kikazi zaidi'.
Kila la kheri 'ndugu zetu' wa Emirata kesho.
 
Man Utd 5- Portsmouth 0!..
Macho yote kesho kati ya The Gunners Vs Chelsea..Sina utabiri)):

Mechi ya kesho nataka Arsenal washinde wawapunguze speed hao Chelsea, lakini tatizo ndugu zetu Ze Gunnaz nao wanataka kupiga chenga mpaka ndani ya nyavu
 
Nyie mashangingi wekundu msije mkabweteka kwa kuwa eti mmevifunga vile vipaa samaki goli 5.

''Wanasema dobi wa kweli utamjua siku akipewa nguo nyeupe''

Sasa tarehe kumi na sita ya mwezi huu tutawapa ileee nguo nyeupe.
Halafu tutaona kama mtawafunga 5 waheshimiwa wale...

Forza Milan
 
Back
Top Bottom