Hamna lolote bahati ya mtende tu.
Nani kafumaniwa![]()
Phew! Amefumaniwa Nani?
Wacha nipo nashukuru kupata droo hiyo ilikuwa ni moja ya game nilizokuwa naziogopa sana
Wamebaki City, Everton,Liva na Chelsea tu
Unasikia mtani Belo, na hizi game zote mtafungwa hampati sare hata moja, at the end of the day utarudi kunipa thanks hapa kwa useful postWacha nipo nashukuru kupata droo hiyo ilikuwa ni moja ya game nilizokuwa naziogopa sana
Wamebaki City, Everton,Liva na Chelsea tu
Zamu yenu kuhesabu mechi ngumu, sisi tulilazimishwa kula muarobaini.
weka na ile ya mwisho FABREGAS iliyezuia kwa mkono ALLAN WEBB akajifanya ajaionaNani kafumaniwa
weka na ile ya mwisho FABREGAS iliyezuia kwa mkono ALLAN WEBB akajifanya ajaiona
.......mipressure imehamia kwao sasa, halafu tuliwaonya sana hawa.......!
Namtafuta Nani? Yupo halooooooooooo Belooooooooooo