Hivi ABchaaz kagoma kabisa kuweka picha za ushindi wa ManU?
Hivi ABchaaz kagoma kabisa kuweka picha za ushindi wa ManU?
Official: Manchester United Confirm Coup Of Fulham's Chris Smalling
Ferguson beats Wenger in race to sign promising defender.
By Alan Dawson
aaaaaaaaaaaaaaah! wapi hao wamezidiwa hata na simba ya dar?IDIMI,
Wewe u mtu mwuungwana heshima mbele! Shukrani- ni kweli hawa vijana wa Wenger wanatisha! 13 matches- hatujapoteza hata moja!
Karibu sana Tevez OT......tuone magoli yako ya kupewa pale City Stadium kama yatajirudia. Of coz will prove s'thing out there kesho.
Hakuna shida kwanza kwa sasa Rio amekuwa mzigo ,beki itakuwa Rafael,Evra,Evans,Vidic na beki yenu watakuwa Campbell na Gallas...afadhali maana RIO FERDINAND ndio keshafungiwa mechi nne,...au mtamchezesha Wes Brown? ha ha...
Hakuna shida kwanza kwa sasa Rio amekuwa mzigo ,beki itakuwa Rafael,Evra,Evans,Vidic na beki yenu watakuwa Campbell na Gallas