Mtajuta kumuuza - sasa kamwonyesha fag kwamba yeye ni kifaa
kombe tunalichukua mapemaaaaaa
Huyu anakamia tu, baada ya muda atarudi kwenye kiwango chake halisi.
Mtajuta kumuuza - sasa kamwonyesha fag kwamba yeye ni kifaa
kombe tunalichukua mapemaaaaaa
Huyu anakamia tu, baada ya muda atarudi kwenye kiwango chake halisi.
***** tu huyo, ka anakamia dhidi yetu tu at the same time anashindwa kugonga hata mwamba wakicheza na Wigan what's that for?, at the end of the day sie tutabakia kuwa Mabingwa na CL ataisikia tu radioni.
Karibuni Theatre of Dreams Rivals in our 2nd leg. mtajuuuuuuuta kututambua.
I remember the last cup match to be played there was against Leeds United, and we all know what happened!Karibuni Theatre of Dross Rivals in our 2nd leg. mtajuuuuuuuta kututambua.
![]()
Rooney na sherehe za kuwa kileleni. Manure 1- 0 Hull
Duh! Sizitaki mbichi hiz....Tevez kafunga magoli 17 mpaka kwenye mechi zote alizocheza za Man City, kati ya hayo ni 2 tu amefunga against Manure....sasa hapa inakuwa vipi kwamba anawapania Manure peke yao na kwamba hawezi kufunga timu nyingine?! Berbaflop amefunga mangapi mpaka sasa? Acheni hizo, kubalini mlishindwa kumsign kwa sababu hamkuwa na pesa na sio kwamba jamaa sio mzuri.
Acha kuongea pumba wewe umemuona Rooney jana?Tevez is the best player in da world, wouldn't swap Rooney for him
Waacha hao kwanza wachezaji majeruhi wengi wameanza kurudi,muda si mrefu wataaanza kusingizia ManU wanabebwaHii thread nahisi ishakuwa hi-jacked na Ze Gonaz, duh!!, ngoja matatizo yenu yaanze (mda wenu wakaribia), tuone huo moyo wa kuwa wageni wa thread za wakubwa sie mtakuwa nao tena. Lol!...
shit!!! i hate manure but congratulations buddies... naona moto wa goli nne si wa kawaida!!
Hivi ABchaaz kagoma kabisa kuweka picha za ushindi wa ManU?