Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Being a player for such long imparts managerial skills in one way or another.

Solskjaer, Di canio, Maradona, Seerdof, wote hao walikuwa ni great players na exprienced players, lakini nadhan unajua kilichowatokea na kinachowatokea kwenye tasnia ya Ucoach..
 
Solskjaer, Di canio, Maradona, Seerdof, wote hao walikuwa ni great players na exprienced players, lakini nadhan unajua kilichowatokea na kinachowatokea kwenye tasnia ya Ucoach..

Tuwasbr kna messi tuone kwan mou alikua anatsha kivile?
 
Loool! Naona watu wamenuna baada ya kuona United imeteleza tu msimu huu! Kumbe walikuwa wanataka tuanguke kimoja!? Mara oooh world-class players hamtapata, mara oooh timu imcheza mechi moja vizuri kwa sababu ya kocha mpya, mara oooh plastics wamerudi, mara eti Van Persie sio world-class, maneno kibaoooo! Kumbe United wanga wetu wengi eeeeh!?

C:\Users\r7c00\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.jpg

Man-United.jpg
 
Van Gaal anataka mkataba wiki hii...

[h=1]Louis van Gaal hoping to seal Manchester United deal this week[/h]

Louis-van-Gaal-006.jpg
Louis van Gaal wants his future resolved in the next week before beginning preparations for the World Cup. Photograph: Franck Fife/AFP

Louis van Gaal is hopeful that a deal to make him Manchester United manager will be sealed this week, with the Holland national coach keen to do so ahead of starting his official World Cup preparations on 7 May.
While Van Gaal's advisors deny terms have already been agreed with United, there is optimism that negotiations can be concluded and that an announcement can be made, even as soon as before the weekend.
If Van Gaal does become David Moyes' permanent successor as manager he could bring Patrick Kluivert as part of his coaching staff, although the former Newcastle United striker would not be his No2. This would allow Van Gaal to offer the role to Ryan Giggs, the interim manager, although the 62-year-old is under no pressure from United to do so.
Giggs, who is in charge until the close of the season as player-manager, admits his future at United is yet to be decided. "I think that's another conversation as well," he said. "I don't know what I'm doing about playing, I don't know what's going to happen, so again its something that I'll think about and decide with the appropriate people after the season."
Van Gaal has a training camp for the home-based Holland players that begins on 7 May so would hope to finalise his future before then.
 
tuburudike na picha za ushindi kidogo

theatre of dreams
Old-Trafford-flags-001.jpg

yes we are.
Giggs-fan-008.jpg

man of the moment
Ryan-Giggs-signs-autograp-009.jpg

2 vs 1
Rooney-tries-to-get-betwe-009.jpg

its a pen.
Danny-Welbeck-is-brought--004.jpg

1-0
Manchester-Uniteds-Wayne--003.jpg

2-0
Wayne-Rooney-slips-but-st-006.jpg
 
more pics.

full house as usual
Giggs-banner-007.jpg

still got it
Ryan-Giggs-003.jpg

whats the Mata?
Mata-and-Rooney-celebrate-002.jpg

4-0
Juan-Mata-celebrates-012.jpg

good start
Ryan-Giggs-walks-off-appl-013.jpg
Final score: Manchester United 4-0 Norwich City" height="549" width="400">
 
Solskjaer, Di canio, Maradona, Seerdof, wote hao walikuwa ni great players na exprienced players, lakini nadhan unajua kilichowatokea na kinachowatokea kwenye tasnia ya Ucoach..

They are putting their shoes right, wait and you will see

Otherwise, dont generalize one scenario over the other.

ceteris peribus
 
Ebana magazeti ya UK yanasema Vaan Gaal kachukua timu

Atampa Giggs shavu

Naona Board yenu inajikanyaga kanyaga nadhani wana wasi wasi na Van Gaal maana bado wana search watu wengine ingawaje Van Gaal bado ni leading candidate. Mpeni kazi Giggs bana kahendo pilika pilika za 38+ games ndani ya mechi moja.
 
wampe tu Giggs na Class of 92 Kama baada ya January inayofuata watu hawajawasahau Kama Legend Kama wanavyowasahau kwa heshima Roy Keane na Ince heshima Yao itavunjika kirahisi Man U ni timu iliozoea kushinda kwahiyo Giggs akikosea watamtukana vibaya, wampe tu Madman Van Gaal. Football imekuwa ngumu hasa hii Ligi ya UK Media Presha ni kubwa ya watu pia wa Cyber ma Social Network pia yanachangia timu kufukuzisha Manager muda mwengine bora Arsenal hawasikilizi la Mkuu wanavunjika guu ila wanaelewa kumtoa sasa hivi mtu Kama Wenger ni kuendelea kuharibu timu. kuna Mzee kwenye TV Fan wa Man United aliongea kitu akasema vijana wasikuhizi kwenye Social Media ndio wanaharibu Football na biashara za Wenye matangazo kwenye matimu yanaharibu football team, akasema enzi za LFC wanashinda makombe ikatokea hawashindi tena watu hawakulalamika walienda kushangilia japoinashindwa akaongelea wakati Man United Inaenda miaka 26yrs old bila Ubingwa wa Ligi hakuona Kelele akienda uwanjani kwamba mashabiki wa United tushachoka walivumilia ilaanashangaa Vijana kitu kidogo mchezaji hafai au Manager Huyu hafai anasema imefika mpaka timu hazina muelekeo nao wanaona Wana haki ya kushinda kombe wakifanya vibaya tufukuze Manager ila nimemsikiliza Huyo mzee Ana point ila kiukweli kwa sie vijana utani na kupelekana kwa Social Media ndio inasababisha kuipa Presha timu wafukuze ila Football sasa hivi ni Biashara kila kufanya vibaya kwa timu sizani Kama kuna timu za juu zinaoenda ziendelee kufanya vibaya , sababu rahisi kuyakosa matangazo ndomana timu za chini zina kufa. Huyo babu akasema Mfano Mzuri LFC fan Kelele za Huyu hafai tena baada kuanza 2001 kushinda Uefa Cup na FA cup mwaka huo wakaona Kumbe tunaweza kushinda makombe ma kubwa tamaa inaanza, baada hapo Gerrad Hollioure akaanza kuharibu pale media ndio zikaanza Kelele sababu mashabiki wa United wanatizama mafanikio ya LFC na LfC wanatizama mafanikio ya Man United wivu wamafanikio akasema ndio unapelekea usipoenda kwa makini unaharibu timu akasema Haoni sababu timu Kama Man United kwenda miaka hata 3 bila kombe ukitegemea mafanikio yake ni ma kubwa nyuma. Timu inayotakiwa kulalamika nafikiri ni LFC mara ya mwisho kushinda Major Cup ni 2005 ila United wanatakiwa wawe na subra football imekuwa hata Totenham wanajiona Wana deni la kushinda ligi. miaka hii players timu isiposhinda kombe season mbili tu anataka out hawakai timu miaka 4 au 5 akishajiona star anatchungulia wapi atabeba nao.
 
Hahahaha Mkuu hata mimi naomba wafanye hivyo hivyo wampe Giggs u-manager haitachukuwa hata hiyo January wataanza kumtukana kama Moyes.
 
Hahahaha Mkuu hata mimi naomba wafanye hivyo hivyo wampe Giggs u-manager haitachukuwa hata hiyo January wataanza kumtukana kama Moyes.

Giggs sio mtu sahihi kumpa timu kwa sasa ngoja apate uzoefu atakuja kuendelea kumfunga Wenger kama atakuwepo
 
Naona Board yenu inajikanyaga kanyaga nadhani wana wasi wasi na Van Gaal maana bado wana search watu wengine ingawaje Van Gaal bado ni leading candidate. Mpeni kazi Giggs bana kahendo pilika pilika za 38+ games ndani ya mechi moja.

Mkuu Kocha anayekuja kum - replace Moyes anajulikana na keshapatikana

Hizi story za "wampe" Giggs hazipo tena na hazina maana kuendelea kuzitamka

Kumbuka hii:

Mkuu, jukumu lake tangia day 1 anajua ni mechi 4 point 12 na kurudisha heshima mtaani, jambo ambalo keshafanikiwa {Heshima imerudi} TV muda wote wanazungumzia Huu mziki mpya wa UTD

Baada ya mechi 4 anakuja "World Class Manager" with "World Class Players"
 
DonDonald naona upo salivated kwa appointment ya Van Gaal, una hamu ligi na World Cup viishe mapema ili jamaa achukiwe usukani wa Old Trafford. Lakini kuweni macho pamoja na kuwa na historia ya mafanikio kimpira jamaa atakuja na baggage zake. Kama Wenger alivyoibadilishaga Arsenal kuwa French, Van Gaal naye ataleta Waholanzi kibao Old Trafford alishafanya hivyo Barca 1999, Tofauti na enzi zile na sasa Holland ilikuwa na vifaa vya kumwaga cku hizi hawapo juu kihivyo
 
DonDonald naona upo salivated kwa appointment ya Van Gaal, una hamu ligi na World Cup viishe mapema ili jamaa achukiwe usukani wa Old Trafford. Lakini kuweni macho pamoja na kuwa na historia ya mafanikio kimpira jamaa atakuja na baggage zake. Kama Wenger alivyoibadilishaga Arsenal kuwa French, Van Gaal naye ataleta Waholanzi kibao Old Trafford alishafanya hivyo Barca 1999, Tofauti na enzi zile na sasa Holland ilikuwa na vifaa vya kumwaga cku hizi hawapo juu kihivyo[/QUOTE]

Aloo hivi sio vifaa kweli?

The following players were called up to the squad for the match vs. France.

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 90%"][TABLE="class: sortable jquery-tablesorter, width: 100%"]
[TR="bgcolor: #AAD0FF"]
[TH="class: headerSort, width: 4%"]#[/TH]
[TH="class: headerSort, width: 4%"]Pos.[/TH]
[TH="class: headerSort, width: 27%"]Player[/TH]
[TH="class: headerSort, width: 22%"]Date of birth (age)[/TH]
[TH="class: headerSort, width: 8%"]Caps[/TH]
[TH="class: headerSort, width: 8%"]Goals[/TH]
[TH="class: headerSort, width: 27%"]Club[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]GK[/TD]
[TD]Jasper Cillessen[/TD]
[TD]April 22, 1989(age 25)[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD] Ajax[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]GK[/TD]
[TD]Jeroen Zoet[/TD]
[TD]January 6, 1991(age 23)[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD] PSV Eindhoven[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #B0D3FB, colspan: 7"][/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]DF[/TD]
[TD]Gregory van der Wiel[/TD]
[TD]February 3, 1988(age 26)[/TD]
[TD="align: center"]37[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD] Paris Saint-Germain[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]DF[/TD]
[TD]Ron Vlaar[/TD]
[TD]February 16, 1985(age 29)[/TD]
[TD="align: center"]22[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD] Aston Villa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]DF[/TD]
[TD]Daryl Janmaat[/TD]
[TD]July 22, 1989(age 24)[/TD]
[TD="align: center"]13[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD] Feyenoord[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]DF[/TD]
[TD]Bruno Martins Indi[/TD]
[TD]February 8, 1992(age 22)[/TD]
[TD="align: center"]13[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD] Feyenoord[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]DF[/TD]
[TD]Daley Blind[/TD]
[TD]March 9, 1990(age 24)[/TD]
[TD="align: center"]9[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD] Ajax[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]DF[/TD]
[TD]Karim Rekik[/TD]
[TD]December 2, 1994(age 19)[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD] PSV Eindhoven[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]DF[/TD]
[TD]Joël Veltman[/TD]
[TD]January 15, 1992(age 22)[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD] Ajax[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #B0D3FB, colspan: 7"][/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]MF[/TD]
[TD]Wesley Sneijder[/TD]
[TD]June 9, 1984(age 29)[/TD]
[TD="align: center"]97[/TD]
[TD="align: center"]26[/TD]
[TD] Galatasaray[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]MF[/TD]
[TD]Kevin Strootman[/TD]
[TD]February 13, 1990(age 24)[/TD]
[TD="align: center"]25[/TD]
[TD="align: center"]3[/TD]
[TD] Roma[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]MF[/TD]
[TD]Stijn Schaars[/TD]
[TD]January 11, 1984(age 30)[/TD]
[TD="align: center"]23[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD] PSV Eindhoven[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]MF[/TD]
[TD]Jordy Clasie[/TD]
[TD]June 27, 1991(age 22)[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD] Feyenoord[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]MF[/TD]
[TD]Siem de Jong[/TD]
[TD]January 28, 1989(age 25)[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD] Ajax[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]MF[/TD]
[TD]Davy Klaassen[/TD]
[TD]February 21, 1993(age 21)[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD] Ajax[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: #B0D3FB, colspan: 7"][/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]FW[/TD]
[TD]Dirk Kuyt[/TD]
[TD]July 22, 1980(age 33)[/TD]
[TD="align: center"]98[/TD]
[TD="align: center"]24[/TD]
[TD] Fenerbahçe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]FW[/TD]
[TD]Robin van Persie[/TD]
[TD]August 6, 1983(age 30)[/TD]
[TD="align: center"]82[/TD]
[TD="align: center"]41[/TD]
[TD] Manchester United[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]FW[/TD]
[TD]Arjen Robben[/TD]
[TD]January 23, 1984(age 30)[/TD]
[TD="align: center"]73[/TD]
[TD="align: center"]22[/TD]
[TD] Bayern Munich[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]FW[/TD]
[TD]Klaas-Jan Huntelaar[/TD]
[TD]August 12, 1983(age 30)[/TD]
[TD="align: center"]60[/TD]
[TD="align: center"]34[/TD]
[TD] Schalke 04[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]FW[/TD]
[TD]Memphis Depay[/TD]
[TD]February 13, 1994(age 20)[/TD]
[TD="align: center"]4[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD] PSV Eindhoven[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]FW[/TD]
[TD]Jean-Paul Boëtius[/TD]
[TD]March 22, 1994(age 20)[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD] Feyenoord[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]FW[/TD]
[TD]Quincy Promes[/TD]
[TD]January 4, 1992(age 22)[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD] Twente Enschede[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mkuu kwa kawaida mechi za Pre-season,friendlies hazihesabiki na haziwekwi katika resume ya kocha,timu au mchezaji. Ndo maana mchezaji anaweza kufunga magoli 20 ktk mechi ya friendly na hutasikia hayo magoli yakihesabiwa ktk historia yake unless Romario(aliyeyaorodhesha LOL). Pia kama ungesoma vizuri nilimaanisha Moyes alishinda mechi ya kwanza ya ligi PL(Premier League) na historia inaonyesha wachezaji huwa wanajituma kumpendezesha Kocha mpya ktk mechi yake(kocha) ya kwanza.
wewe unajifanya huelewi sasa subiri mechi zilizobaki za giggs uone kama atafungwa hata moja!!
 
wewe unajifanya huelewi sasa subiri mechi zilizobaki za giggs uone kama atafungwa hata moja!!

Yahani swala la kufungwa au kudroo halipo kabisaaa...bahati mbaya na pole kwa yeyote atakae kutana na sisi kipindi hiki...Giggs hana utani kabisa na swala la kumaliza league strong
 
Yahani swala la kufungwa au kudroo halipo kabisaaa...bahati mbaya na pole kwa yeyote atakae kutana na sisi kipindi hiki...Giggs hana utani kabisa na swala la kumaliza league strong
yaani mtu anashindwa kweli kuona confidence ambayo wachezaji wa man u walikuwa nayo siku ile hivi mtu kama cleverley floppy of the season) aliweza kucheza vizuri unatarajia kweli kuna kufungwa hapo na timu za kawaida/wastani?
 
Back
Top Bottom