Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

yaani mtu anashindwa kweli kuona confidence ambayo wachezaji wa man u walikuwa nayo siku ile hivi mtu kama cleverley floppy of the season) aliweza kucheza vizuri unatarajia kweli kuna kufungwa hapo na timu za kawaida/wastani?

watu wengi hawakushtukia ila kwa kumuanzisha Tom Cleverley, Giggs was making a statement kwamba the boy is not that bad ila Moyes ndio hajui kutumia wachezaji.....Kama unakumbuka last season ambapo man utd walichukua kombe mechi za wanzo walikuwa wanaanza Anderson na Cleverley na man utd mechi za mwanzo walishinda sana mpaka kipindi Anderson anapata injury akapotea kabisa.
 
Wangempa muda Moyes mapema sana wamemtimua, ukitazama uchezaji wa man msimu huu lawama nyingi wapewe maplayer tena wenye majina sana wameharibu,
Moyes alitakiwa apewe fungu lakutosha msimu ujao naamini angebadili timu

Alipewa 200 paund
 
DonDonald naona upo salivated kwa appointment ya Van Gaal, una hamu ligi na World Cup viishe mapema ili jamaa achukiwe usukani wa Old Trafford. Lakini kuweni macho pamoja na kuwa na historia ya mafanikio kimpira jamaa atakuja na baggage zake. Kama Wenger alivyoibadilishaga Arsenal kuwa French, Van Gaal naye ataleta Waholanzi kibao Old Trafford alishafanya hivyo Barca 1999, Tofauti na enzi zile na sasa Holland ilikuwa na vifaa vya kumwaga cku hizi hawapo juu kihivyo

Mkuu heri wa Dutch kuliko Wafaransa, si unaona mwenyewe mpira wa Dutch National Team

Van Gaal hawezi kujaza ndugu zake tuu UTD, akifanya hivyo Wamarekani wa Tampa Bay watamfukuza

Nimesikia fununu Ex Arsenal Player Gilles Grimandi anatayarishwa na Wenger aje kumrithi.

Halafu uzuri ni Mfaransa pia, kwahiyo utamaduni wenu utaendelezwa
 
wewe unajifanya huelewi sasa subiri mechi zilizobaki za giggs uone kama atafungwa hata moja!!

Mkuu hamna mtu kasikitishwa mno na uamuzi wa UTD kumfukuza Moyes kama rubaman, ila simalaumu hata mimi ningekuwa ninashabikia timu nyingine ningekuwa na wasiwasi kuwa balaa limerudi tena EPL
 
Last edited by a moderator:
Van Gaal anataka mkataba wiki hii...

[h=1]Louis van Gaal hoping to seal Manchester United deal this week[/h]

Louis-van-Gaal-006.jpg
Louis van Gaal wants his future resolved in the next week before beginning preparations for the World Cup. Photograph: Franck Fife/AFP

Louis van Gaal is hopeful that a deal to make him Manchester United manager will be sealed this week, with the Holland national coach keen to do so ahead of starting his official World Cup preparations on 7 May.
While Van Gaal's advisors deny terms have already been agreed with United, there is optimism that negotiations can be concluded and that an announcement can be made, even as soon as before the weekend.
If Van Gaal does become David Moyes' permanent successor as manager he could bring Patrick Kluivert as part of his coaching staff, although the former Newcastle United striker would not be his No2. This would allow Van Gaal to offer the role to Ryan Giggs, the interim manager, although the 62-year-old is under no pressure from United to do so.
Giggs, who is in charge until the close of the season as player-manager, admits his future at United is yet to be decided. "I think that's another conversation as well," he said. "I don't know what I'm doing about playing, I don't know what's going to happen, so again its something that I'll think about and decide with the appropriate people after the season."
Van Gaal has a training camp for the home-based Holland players that begins on 7 May so would hope to finalise his future before then.

source ni Mirror, Metro, Dairly Telegraph, The Guardian, The Times, Goal.com, Talksport.com, Clubcall, Dailry Mail au SKYSPORTS NEWS?????
 
yaani mtu anashindwa kweli kuona confidence ambayo wachezaji wa man u walikuwa nayo siku ile hivi mtu kama cleverley floppy of the season) aliweza kucheza vizuri unatarajia kweli kuna kufungwa hapo na timu za kawaida/wastani?

ile confidence mliyokuwa nayo against Swansea mwanzo wa msimu, ushaisahau????
 
Kwa mechi ya juzi ilivyokua ilinifanya na mm niamini wachezaji wengi wa man walikua hawampendi Moyes....
 
ile confidence mliyokuwa nayo against Swansea mwanzo wa msimu, ushaisahau????
haikuwa sawa na ya juzi angalia mpira wa swansea na mpira wa norwich mipira miwili tofauti sidhani kama kuna mehi ambayo inaishinda ya juzi kwa/norwich kwa kuwa na ball possesion nyingi na shot on target nyingi toka msimu huu umeanza
 
Mkuu hamna mtu kasikitishwa mno na uamuzi wa UTD kumfukuza Moyes kama rubaman, ila simalaumu hata mimi ningekuwa ninashabikia timu nyingine ningekuwa na wasiwasi kuwa balaa limerudi tena EPL
hata kama ila yeye kazidi mhh!!! yaani naona next season kama mbali sana nina hasira sana na hawa mburukenge wote walioutufunga msimu huu.
 
watu wengi hawakushtukia ila kwa kumuanzisha Tom Cleverley, Giggs was making a statement kwamba the boy is not that bad ila Moyes ndio hajui kutumia wachezaji.....Kama unakumbuka last season ambapo man utd walichukua kombe mechi za wanzo walikuwa wanaanza Anderson na Cleverley na man utd mechi za mwanzo walishinda sana mpaka kipindi Anderson anapata injury akapotea kabisa.
hiyo ilikuwa mwaka juzi mkuu ambao ndo msimu arsenal alikula 8 nakumbuka kipindi kile combination ya cleverley na anderson likuwa hatari mpk fergie akghaiirii uamuzi wake wa kumnunua sneijdjer kwa kuiamini hiyo combination na sio siri tulikuwa tunapiga pasi na kucheza mpira mzuri hatari
 
Tom Cleverley sio mchezaji wa kuchezea Man United, amepewa sana nafasi but hakuna cha maana alichofanya
 
Tom Cleverley sio mchezaji wa kuchezea Man United, amepewa sana nafasi but hakuna cha maana alichofanya
nalijua hilo mkuu ndo maana namwita floppy of the season wa man u ila kipindi hicho zali lilimwangukia kidogo akawa anaonekana kama anjuajua mpk akaitwa baadhi ya match za england kwenye national team
 
hata kama ila yeye kazidi mhh!!! yaani naona next season kama mbali sana nina hasira sana na hawa mburukenge wote walioutufunga msimu huu.

Tatizo lako Mndengereko umeweka ushabiki sana mbeleee!!!

Kuna Team kibao nazo hazijafikia malengo yao Msimu huu..PL ishaingia kwenye New Era, sahv hata Southampton na the likes of Everton wanawazia Top four spot kaka..sahiv Spurs wana Spend Big kama any other big teams in Europe, na wanajiona kabisa wana hadhi ya kuwa among of the Top 4 teams..tena kuna Liverpool, Man city, Arsenal na Chelsea, zote hizo zina look foward katka kuimarisha vikosi vyao mjomba..

Competition Kwenye PL itakuwa ni kubwa zaid kuliko unavyofikiria wewe!!

Sitoshangaa kama kuna mashabiki wa Manure watakuwa wanawazia ubingwa next season!!!

It wil take years Manure kuchukua tena PL, and it will take seasons Manure kurudi tena Top4..

Na kwa team zilizopo Top6 now, sioni hata moja ikiachia nafasi kirahisi kama mnavyofikiria..so msitake kum-bebesha Kocha wenu ajaye kazi kubwa kwa mitazamo yenu ya kishabiki.
 
aise uko serious???kukosa kombe mwaka mmoja ndio inakufanya useme hay??eti 'it will take seasons man utd kurudi top 4!!! hivi unajua timu unayoizungumzia??? NI TIMU AMBAYO BADO NI BINGWA WA EPL KWA 11PTS,MSIMU KABLA YA HUO ILIKOSA UBINGWA KWA GOAL DIFFERENCE NA MSIMU KABLA YA HUO ILIKUWA BINGWA!!! KWAHIO TIMU HII GHAFLA MSIMU MMOJA TU NDIO IMEKUWA HIVYO UNAVYOSEMA....ITACHUKUA YEARS KURUDI TOP 4.....HAPA NAONA WEWE NDIO UNAONGEA KISHABIKI NA SI MWINGINE, AU LABDA UNAFIKIRI SIS TUTAKUWA KAMA LIVERPOOL 21YRS[IM SURE/NOT INTERESTED TO KNOW] HAWAJAWAHI KUSHINDA EPL NA HATA TOP FOUR NI ISSUE KWENU KWA MISIMU KADHAA.

Tatizo lako Mndengereko umeweka ushabiki sana mbeleee!!!

Kuna Team kibao nazo hazijafikia malengo yao Msimu huu..PL ishaingia kwenye New Era, sahv hata Southampton na the likes of Everton wanawazia Top four spot kaka..sahiv Spurs wana Spend Big kama any other big teams in Europe, na wanajiona kabisa wana hadhi ya kuwa among of the Top 4 teams..tena kuna Liverpool, Man city, Arsenal na Chelsea, zote hizo zina look foward katka kuimarisha vikosi vyao mjomba..

Competition Kwenye PL itakuwa ni kubwa zaid kuliko unavyofikiria wewe!!

Sitoshangaa kama kuna mashabiki wa Manure watakuwa wanawazia ubingwa next season!!!

It wil take years Manure kuchukua tena PL, and it will take seasons Manure kurudi tena Top4..

Na kwa team zilizopo Top6 now, sioni hata moja ikiachia nafasi kirahisi kama mnavyofikiria..so msitake kum-bebesha Kocha wenu ajaye kazi kubwa kwa mitazamo yenu ya kishabik
i.
hapo kwenye red yaani you are completely wrong sijui kwanini unashindwa kuona kwamba timu ndogo akina southampton,everton na hata southampton hazina ubavu wa kuwa na consistency ya ushindi kutoka mwanzo wamsimu mpk mwisho na hapo timu kubwa (man u tutapowapiga bao) kumbuka everton na southampton zilikuwa nafasi ya ngapi wkati mzunguko wa kwanza unaisha ila tatizo kumaintain hiyo consitency yao ya ushindi ndo ishu inkaubidi uwe na experience na kuhusu spurs kuspend sana msimu uliopita waliboostiwa na kuuzwa kwa bale sidhani kama wenyewe tu wangeweza kuspend hela nyingi kiasi kile
 
Back
Top Bottom