Hapa, tunaongelea suala la WORLD CLASS PLAYERS kuja Manure utd..
nadhani unaelewa maana ya WORLD CLASS PLAYERS kaka!!
Kwa nafasi uliyopo wewe sahiv, huwez kumahawishi mchezaji kama Suarez, Diego Costa, Messi, Iniesta, Kroos, Lahm, Robben, Aguero, Silva, Toure, Bastian, Lewandowsk na wengineo ambao ni World class kuja kucheza hapo OT, hiyo ni fact Nzi..
Kuna players ambao Manure inaweza ikawashawishi kuja hapo, Akina Dzeko, Javi garcia, Schurrie, Tello, Sanchez, Bender, Gotze, Song, barkely, Baines, Moreno, Shaw, Reges, Navas, na wengineo ambayo hawako consdered kama ni world class players kaka!!
sahiv wewe, ndo unaweza ukatengeneza world class players, lakini siyo kusubiria World class players waje kwenye team yako hiyo kwa nafas uliyopo!
unaweza ukafanya Major signings n zikaja kucreate World class players, mfani ni Man city, chelsea na liverpool kwa Suarez..
Kwa nafas uliyopo, sahiv kaka, huwez kunidanfanya kuwa una uwezo wa kuleta WORLD CLASS PLAYERS, labda tu tuwe tunatofautiana katika kujua maana y hilo neno..
Manake kuna kipind tulibishana hapa kuhusu STEVEN GERRARD, na ukasema siyo World class player, asa kama ni hivyo nadhan utakuwa unaelewa nini maana ya world class player indeed..