Mbeky
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 672
- 520
Wenzako wanadai, wataleta Established World Class Players msim ujao..nikawaambia hicho kitu hakiwezekan kwa sasa, ukilinganisha na hali ya Manure utd sahiv..
Manure utd sahiv, itanunua squad players, au kufanya major signings ambazo zitatengeneza world class players, Mfano mzuri Rooney, Ronaldo, van der sar, lakin sahiv huwez kuwaleta kina Aguero, suarez, Kroos, Diego costa , Messi na wengneo ambao wanatambulika kama World class players kwa sasa..
Suala hapa ni kuwavutia World class players, na siyo kununua wachezaji wazuri, ambao baadae wanaweza kuja kuwa world class, kila team ishafanya hivyo, Mfano torres, suarez, owen kwa liverpool, Rooney, Ronaldo, Vidic kwa Manure, Toure, Aguero, Silva kwa Man shitty..hao sahv washatengeneza profile kubwa, na among of the world class players kwenye hii generation yetu..!
Suala, Je unaweza ukawakonvince hao wachezaji waje hapo Manure kwa current stuation uliyopo??..au kununua Top class players na kuwafanta wawe world class players..?!!!
Mkuu nimekufatilia kwa ukaribu sana posts zako..na nimezigroup into three parts:
1.During Moyes (tragedy era)
2. Moyes sacked (end the tragedy)
3. Giggs Time (bring back the hopes)
Ntaanza na part 1. "During Moyes time" wewe na anti MUFC wenzako mlikua mnafurahia sana downfall ya Man United..mkichekelea hapa records mbovu za matokeo mabovu tena OT...
Part 2. "Moyes sacked " we na wenzako mapigo ya moyo yakaongezeka ooh Moyes angepewa muda ooh u made a mistake..
Part 3. Giggs time..bado tena we na wenzako mnaponda ooh game la kwanza ooh atashindwa nae..ooh blah blah blah...we umekuja na hoja nyingine we can't afford to get world class player..blah blah blah
For God seek why do you hate Manchester United this much..yahani mpk unapata wivu..
For your information hata uichukie MUFC kiasi gani MUFC ni timu kubwa sana ulimwenguni ni super bland na hiyo haitaweza kupotea with the fact that tuko nafasi ya 7 EPL au hatushiriki CL next season..
We will come as united again next season to conquer and dominate EPL again...if you have a problem with that anza kujiua mapema..