Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Tatizo lako Mndengereko umeweka ushabiki sana mbeleee!!!
Kuna Team kibao nazo hazijafikia malengo yao Msimu huu..PL ishaingia kwenye New Era, sahv hata Southampton na the likes of Everton wanawazia Top four spot kaka..sahiv Spurs wana Spend Big kama any other big teams in Europe, na wanajiona kabisa wana hadhi ya kuwa among of the Top 4 teams..tena kuna Liverpool, Man city, Arsenal na Chelsea, zote hizo zina look foward katka kuimarisha vikosi vyao mjomba..
Competition Kwenye PL itakuwa ni kubwa zaid kuliko unavyofikiria wewe!!
Sitoshangaa kama kuna mashabiki wa Manure watakuwa wanawazia ubingwa next season!!!
It wil take years Manure kuchukua tena PL, and it will take seasons Manure kurudi tena Top4..
Na kwa team zilizopo Top6 now, sioni hata moja ikiachia nafasi kirahisi kama mnavyofikiria..so msitake kum-bebesha Kocha wenu ajaye kazi kubwa kwa mitazamo yenu ya kishabiki.
Sidhani kama Liverpool watasumbua sana next season labda wanunue wachezaji wengine wengi back four yote ni mbovu still mnahitaji striker,backup ya Coutinyo na msimu huu hamkuwa na michuano ya Ulaya.
Everton nao hawana squad depth key players wao (Lukaku,Barry na Deloflou) wanarudi kwenye timu zao.Nao next season watashiriki
michuano ya ulaya.Last season Swansea walitishia sana hadi timu kubwa zikawa zinamtaka kocha wao but msimu huu ambao wameshiriki michuano ya Ulaya wamechemsha sana kwenye ligi ikabidi wamtimue kocha wao
Spurs lazima wauze ndio wanunue kila msimu wanauza (Keane,Berbatov,Carick,Mondric,Bale) otherwise hawana ubavu wa kununua wachezaji wa bei kubwa
Sijaona competition yeyote iliyoongezeka zaidi ya ManUnited kuchemsha na Liverpool kupanda