Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
Nahisi kama Ryan atapewa team mazima, i just sense that.
unamkumbuka De Mateo
sidhani coach ashapatikana teyari ila ni vyema kuwamo kwenye bench la ufundi.
Nahisi kama Ryan atapewa team mazima, i just sense that.
Chief, Hongera kwa kuanza kurudisha tena jina la theatre of dreams instead of theatre of daydreamer!.Wakaanga sumu kasageni vyupa mle...
Tetesi ni kuwa atakuja na Kluivert...
Ila ni muhimu 'Class of 92' wawepo aisee...
unamkumbuka De Mateo
sidhani coach ashapatikana teyari ila ni vyema kuwamo kwenye bench la ufundi.
Tetesi ni kuwa atakuja na Kluivert...
Ila ni muhimu 'Class of 92' wawepo aisee...
tumefutwa machozi....
rubaman pole sana kwa maumivu
Yaani kwa jeans man u leo ilivyocheza nimegundua mambo mawili either wachezaji walikuwa hawamtaki kocha,au kocha alikuwa anashindwa kuwamotivate wachezaji wacheze vizuri in a man utd way kama tunavyoona hapa leo
Absolutely brilliant from White Pele
White Pele, comedy Central Presents LOL
Kumbe nawe unapitapita huku? Nilijua we ni BUBU
Hahahaha hata Moyes aliposhinda mechi ya kwanza PL mlichonga kwamba moto ni ule ule toka Fergie. Mpeni mkataba wa miaka mitatu au sita muone kama hamjakimbizana hapa kwa #InGiggsWeTrust vs #GiggsOut
Hahahaha hata Moyes aliposhinda mechi ya kwanza PL mlichonga kwamba moto ni ule ule toka Fergie. Mpeni mkataba wa miaka mitatu au sita muone kama hamjakimbizana hapa kwa #InGiggsWeTrust vs #GiggsOut
Wachezaji huwa wanajituma wanapopata kocha mpya. Don't read too much into mechi ya kwanza, hata Moyes alishinda mechi ya kwanza PL
Mkuu, jukumu lake tangia day 1 anajua ni mechi 4 point 12 na kurudisha heshima mtaani, jambo ambalo keshafanikiwa {Heshima imerudi} TV muda wote wanazungumzia Huu mziki mpya wa UTD
Baada ya mechi 4 anakuja "World Class Manager" with "World Class Players"
Duh! Mkaanga sumu naona umeumia kweli..
Ngoja nikusaidie lakini: leo timu imekuwa na shots on target nyingi kuliko mechi zote under DM; na hata baada ya kuwa na goli 3, Giggs akafanya sub ya kuingiza mshambuliaji, jambo ambalo lilimaanisha, more attacking footie. Jambo hili la pili lilikuwa halifanyiki kwa DM, ambaye alipendelea defensive footie hata kama anaongoza kwa goli 1 bila!
Kama inakuuma sana, nenda kumchukue Moyes Miami ili aje afundishe Manchester United ya mtaani kwenu.
Mabadiliko yanakuja united, am sure giggsy hatafanya makosa kama ya moyes, anaijua kila team pale england.
He knows what he;z doing
World class players gani waje kwenye team ambayo imemalza nafas ya 7 na haipo UCL??
Au unafukiri kusajili world class players ni that easy???