Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kitu kimoja ambacho nimefurahi ni zile subs za Giggs za kuonyesha kutoridhika na idadi ya magoli....goli 3-0, lakini anaingizwa Hernandez...hiyo inaonyesha jinsi gani alivyopanga kutolinda magoli, kitu ambacho DM alishindwa kwa kweli...
 
Pili....Giggs kaamua kuwachezesha vizee vya zamani akina Ferdinand tena dk zote 90...na kwakuwa leo wameshinda basi atafanya hivyo in the next 2 remaining games..sasa hivi vizee akina Evra havitaweza speed na mwendokasi wa vijana wa sasa hasa Sunderland na Southampton..
I smell...msiba mwingine unakuja hapa very soon!! Take my words..!! Nzi n' all
 
Last edited by a moderator:
Timu leo imekuwa na more shots on target kuliko game yoyote msimu huu...

Hata pressing ya mpira ilikuwa tofauti sana leo..
 
Mabadiliko yanakuja united, am sure giggsy hatafanya makosa kama ya moyes, anaijua kila team pale england.

He knows what he;z doing
 
Timu leo imekuwa na more shots on target kuliko game yoyote msimu huu...

Hata pressing ya mpira ilikuwa tofauti sana leo..

Nahisi kama Ryan atapewa team mazima, i just sense that.
 
Kitu kimoja ambacho nimefurahi ni zile subs za Giggs za kuonyesha kutoridhika na idadi ya magoli....goli 3-0, lakini anaingizwa Hernandez...hiyo inaonyesha jinsi gani alivyopanga kutolinda magoli, kitu ambacho DM alishindwa kwa kweli...

Natamani Van Gaal akija Giggsy and Roy Keane wawe wasaidizi wake.
 
Pili....Giggs kaamua kuwachezesha vizee vya zamani akina Ferdinand tena dk zote 90...na kwakuwa leo wameshinda basi atafanya hivyo in the next 2 remaining games..sasa hivi vizee akina Evra havitaweza speed na mwendokasi wa vijana wa sasa hasa Sunderland na Southampton..
I smell...msiba mwingine unakuja hapa very soon!! Take my words..!! Nzi n' all

I have taken your words.
 
Last edited by a moderator:
Everton walikuwa ugenini arifu....sasa mkiwa nafasi ya nne (kama kawaida yenu), ndiyo kiashiria cha kusema Professor Doctor Economist Manager French Arsene Wenger atastahili kupewa mkataba mupya?

.....haya basi, tuachieni sie tuliojizoelea nafasi ya nne, nyie vipi leo..... Umeamini players power ndio iliyomuondoa DM?

Mbona leo wamejituma kama hawana akili nzuri?!.,,,,

#MosKwito !
 
Kitu kimoja ambacho nimefurahi ni zile subs za Giggs za kuonyesha kutoridhika na idadi ya magoli....goli 3-0, lakini anaingizwa Hernandez...hiyo inaonyesha jinsi gani alivyopanga kutolinda magoli, kitu ambacho DM alishindwa kwa kweli...

nilijua huku tu kumbe hata huko sub mmeziona zilivyo poa.
 
Back
Top Bottom