Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

28th min, still 0-0 at OT...

Howson gets the 1st yellow of the game...
 
Duh Manure bado tiamaji tia maji yaani mpira haupendezi kabisa mnaruhusu kuchezewa nyuma tena hapo uwanjani kwenu...you have a very long way to GO... Nzi
 
Lol kama kawaida yenu mnaanza kuhesabu vifaranga kabla mayai hayajatotolewa. Eti Ozil ni flop hahaha , subirini msimu ujao muone itakavyokuwa ndo mseme. SAF na ujanja wake aliuziwa muuza karanga kariakoo ya Portugal ndani ndani akadhani kapata next CR7.
Mkuu kama Giggs akipewa mechi 10 mtakuwa mnagombania kuwa top 10, jamaa hana experience ya ukocha msitegemee mengi.

Ohh kwa Ozil tusubiri mpaka msimu wa pili ila kwa Bebe ni msimu mmoja tuu?

Giggs ana mechi nne tuu za kuwa Kocha
 
Hahaaaa mpira bhana...mnabebwa mpaka Gigis kakataa kushangilia, WELBECK kajipiga mwenyewe chini eti penalty...LOL
 
Sasa usajili itakuwaje? Maana Van Gaal atakuwa na Uholanzi wakati wa transfer season...

Yeah inabidi wawe makini msimu ujao... maana msimu huuu Moyes alianza kazi July {alichelewa}

Matokeo yake tukakosa wachezaji wengi
 
Hahaaaa mpira bhana...mnabebwa mpaka Gigis kakataa kushangilia, WELBECK kajipiga mwenyewe chini eti penalty...LOL

Mkuu wameshasema heshima itarudi Old Trafford, walikuwa wanamaanisha heshima ya kupewa penalties kwa kudive au wakitereza . Ferguson atakuwa ameshawakonyeza ma officials
 
Mkuu wameshasema heshima itarudi Old Trafford, walikuwa wanamaanisha heshima ya kupewa penalties kwa kudive au wakitereza . Ferguson atakuwa ameshawakonyeza ma officials

Tena huyo mchezaji aliyemwangusha Danny ana bahati kubaki...kwani kama alizuia goal scoring opportunity, basi angelamba na red card kabisa..

Ndiyo bana...na sasa Fergie ataendelea kununua marefa wote ili goons wasiwe mabingwa wa EPL..
 
DonDonald Msimu huu Man Utd fans mna jazba nyingi kama Sao Paulo
 
Yaani kwa jeans man u leo ilivyocheza nimegundua mambo mawili either wachezaji walikuwa hawamtaki kocha,au kocha alikuwa anashindwa kuwamotivate wachezaji wacheze vizuri in a man utd way kama tunavyoona hapa leo
 
Back
Top Bottom