Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sipati picha sasa hivi d.moyes anajiskiaje baada ya kuiona timu ikicheza in a man utd way.
 
Tena huyo mchezaji aliyemwangusha Danny ana bahati kubaki...kwani kama alizuia goal scoring opportunity, basi angelamba na red card kabisa..

Ndiyo bana...na sasa Fergie ataendelea kununua marefa wote ili goons wasiwe mabingwa wa EPL..
Uzuri ni kwamba mfunge au mfungwe haibadilishi position yenu 7th...hahaaaaa!! Hadi raha.
 
Mkuu wameshasema heshima itarudi Old Trafford, walikuwa wanamaanisha heshima ya kupewa penalties kwa kudive au wakitereza . Ferguson atakuwa ameshawakonyeza ma officials

mkuu comment kama hizi waachie watu wasiojua mpira ndo wazitoe sio kama wewe!
 
DonDonald Msimu huu Man Utd fans mna jazba nyingi kama Sao Paulo

Man utd fans hatuna jazba ila sema Arsenal/liverpool/Chelsea/Man City fans wameingiwa na wasiwasi na kuchukizwa mno na kitendo cha Glazer kufukuza Moyes

Ila inajulikana ni kwanin mmeingiwa na wasiwasi huo.... sio unaona dhahama inayowapata Norwich sasa
 
Ha ha haa haaaaaaaa leoooooo ha hahaaaaaaaaaaa
 
Kagawa off, Young in...64th min

Giggs going for the traditional United's style of using wingers..
 
Back
Top Bottom