Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,556
- 34,233
Timu kubwa kuliko uwezo wao.Ila viongozi wa Manchester United hawana akili
tieleimans wakat Leicester wanashuka daraja alikuwa free agents Manchester akagoma kumsajili bure akaenda Aston Villa
wameenda wamepigwa e40 million chezaji zito
akiwa aston Villa kazi chafu alikuwa anafanyiwa na onana
huyo Santos Hadi anatia huruma 😁