arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,362
- 4,414
Hawa jamaa ni wazuri sana kwny kuota ndoto za mchana🤠🤠....mechi ya kwanza tyri wanna GD ya negative.....wamebutuliwa kwlikwli leoKwa hiyo ndoto yenu ya kuwa Invincibles kama sisi 2004 imekatishwa leo leo tu?..