Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata huyu Baleba amekuwa mid player ,hawezi kuwasaidia kitu ,

Alifanya vizuri misimu miwili iyopita

Mpaka arudi December mtakuwa mshachapika na mmehamia mancity kama kawaida yenu
HQE_T8KXEAAkkdP.jpg
 
Mkuu kubalini mna kikosi cha kawaida Sesko mmemsajili takwimu zake ni ndogo tena katokea ligi nyepesi, Santos kwetu namba alikuwa hapati kwenu kaja kuwa starter, Tieleman maji ya jioni, Baleba injury prone, mpaka Leo kweli mnamtegemea Shaw serious
Huu ukweli hawataki kukubali

Santos,Baleba na Teleman huwezi wategemea wakupe game nzuri mechi za EPL ,UCL NA carabao

Hiyo ni midfield ya level za kina Palace
 
Mkuu Mashabiki wao wapo serious kuliko wachezaji wao shida inaanzia hapo 🤣 Tieleman wamemsajili maji ya jioni, Santos alikuwa hapati namba team yetu kwako Kawa starter na mapambio kibao, Baleba injury prone haiwezi kucheza mechi 4 mfululizo bila injury na alipata injury anakaa muda mrefu alafu wametoa pound 65m dah! Kule mbele hawana striker wa maana striker waliomsajili kwa pesa nyingi Sesko anakaa benchi huyu Kocha wa pili anampiga benchi alafu wakiitwa manyumbu wanaona kama wamenyanyaswa
Kipindi man u wanashinda carrick akiwa interim coach ulikuwa unaongea haya unayoyaongea? Carrick amefungwa mechi ya kwanza ya ligi, inaonekana ameshapoteza mechi 20.

Akili za kipimbi kabisa hizi.
 
Mkuu kubalini mna kikosi cha kawaida Sesko mmemsajili takwimu zake ni ndogo tena katokea ligi nyepesi, Santos kwetu namba alikuwa hapati kwenu kaja kuwa starter, Tieleman maji ya jioni, Baleba injury prone, mpaka Leo kweli mnamtegemea Shaw serious
Sesko msimu jana alizidiwa magoli machache sana na streka la magoli lililotoka sporting, Acha kula ugali mwingi mkuu.
 
Nilichogundua wengi wao wanapoza machungu ya kupigwa msimu uliopita kwahyo kuanza kwa kufungwa msimu huu ni kama wanalipiza kisasi cha machingu yao...walimaliza msimu wakiwa na maumivu ya kufungwa na man utd
Ukweli ni kwamba nyie mna team ya kawaida hampo kwenye level ya Arsenal, Chelsea, Man City, Liverpool hata Spurs mchezaji aliyekuwa anakaa benchi kwetu Santos nyie ndio first eleven starter kwa style hiyo unashindana vipi
 
Back
Top Bottom