Kama Carrick ndio mpira wake ataenda nao huu huu basi ataangusha alama nyingi Sana and probably atatimuliwa mapema, maana timu zitakuwa zinakuja na low block tu maana Kocha Hana uwezo wa kuzifungua timu za Aina hii ni Hadi Bruno aamke vizuri. United itashinda mechi kubwa coz huwa inaingia kama second team inasubiri kupiga kaunta.