Muyabi colors
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 2,674
- 3,815
Hawezi kusawazisha huyo Kawa mzembe sana kwanza muda umeshaisha
Hua unashabikia timu za ajabu ajabu kila mara. Bado nakusubiri Madrid ianze kupigwa miti
When things get overwhelming sisi tunakubali kuwa tumeshindwa.Hua unashabikia timu za ajabu ajabu kila mara. Bado nakusubiri Madrid ianze kupigwa miti
Ulionhea kwamba kikosi chetu kibovu?Pole mkuu. Juzi niliongea hapa nikaishia kupata kejeli.
Wenzako wameridhika wanamsubiri Arsenal.
Objection...When things get overwhelming sisi tunakubali kuwa tumeshindwa.
Meanwhile kuna mtu alidiriki kuingilia majukumu ya watu ili ajiongezee rating aonekane alikuwa na bidii na kujituma.View attachment 3655055
Hapa nakataa.Madrid
Ni MANYUMBU kweli hawa kengePole sana mkuu, awakukosea kuwaita manyumbu 🤣
Kuna huyu nyumbu alisema km Carrick angeanza msimu angechukua ubingwa kwa fact kwamba tangu alipofukuzwa Amorim, Carrick ndo kocha alieongoza kwa points! 😂Tumia basi akili yako vizuri, toka Carrick achukue timu kuna kocha yeyote aliyemzidi point EPL? Sasa hiyo ishara yake nini?
Nassoro Katuga naona utetezi wako.Objection...
Mimi - Ndugu hakimu, mshitakiwa analeta vielelezo visivyohusika na kesi hii..