Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Moyes hata apewe miaka 10,mambo ni yale yale,anashinda mechi kwa uwezo wa wachezaji na si kwa uweza wa mbinu zake.
 
kaka kuuvunja mkataba wa miaka 5 si kazi ya Kitoto but yote kwa yote tusubirie tuone kama laweza kutokea.
inawezekana mkuu hakuna kinachoshiindikana kwa man u kama kweli wanataka mafanikio if they are willing to use up to pound m 50 kwa ajili ya usajili what is kuvunja mkataba wa kocha ambae ameiweka man u katika position ambayo ingechukua miaka almost mitano kuwepo hiyo position lakini yeye kaiweka just kwa one season??
 
poa naona welbek anaingia kuchukua nafasi ya kagawa, ona sasa sub za moyez
kagawa kacheza chini ya kiwango na ilibidi atoke around dk ya 50 au half time pale moyes alichelewa kumtoa yaani timu ilikuwa inacheza chini ya morali mpk kipindi cha kwanza kinaisha hatuna shot on target very strange then rooneyy alikuwa anapiga iga mkrosi tu unnecesarily yaani alikuwa anacheza kiviivu sio rooney yule tuliyemzoea sijui kkwanini hakuamua kumtoa?
 
It took Fergie 6 seasons before he started winning. You should give Mr Moyes a buffer time
umeanza kurudia mambo yaleyale ambayo kial siku yashajadiliwa humu ndani man u aliyoichukua fergie tofauti na man u aliyoichukua moyes,nahisi sihtaji kukuelezea man u ya fergie ilikuwaje na man u ya moyes kaichukua timu iikiwaje!!! if you are realy sportsman you should understand this and accept the fact that moyes is empty set.
 
Doesn't apply kwa kuwa umevaa koti la unazi...

Ninachosema ni kwamba kinachoendelea Everton, huwezi kumpa credits Moyes pia, kwani aliijenga timu, Martinez kaja kukamilisha project kwa kuongezea touches zake...

Ni sawa atakapokuja mrithi wa Wenger na kufanikiwa, halafu usahau jinsi Wenger alivyoweka misingi imara...of course, kocha huyo akifail lazima lawama ziwe kwake...

Nasubiri sana siku Wenger atakavyoondoka na goons mtakavyostruggle..

Mkuu...hakuna unazi wala "ukoroma"........maneno ni yako mwenyewe......unadai DM aliijenga Everton (sijui kwa miaka mingapi mpaka uiite project.....kama kweli ilikuwa project) na Martinez kaja kumalizia project "kwa kuongeza touches zake"........

sasa basi kw amlengo huo huo......turejee kwa ManU.....SAF kaiacha timu ni Mabingwa......I mean the EPL Champions.......tu assume SAF naye ilikuwa ni project....na akaimaliza successfully....DM kaja kuchukua a successfully project na matokeo yake tumeyaona.......sasa kwa kutumia theory yako.....DM kaweka touches zake timu imeanguka.....kwa hiyo hapo tumlaumu SAF?......

It is clear with no doubt.....DM has to go.......

kuna mtu mwingine analinganisha SAF alivyoikuta ManU wakati ule (tena wakati ule ndio ilikuwa ni project ya SAF kuipeleka ManU kwenye mafanikio) na hivi sasa alivyoikuta DM........hapo ni sawa na kulinganisha maisha ya dunia na yale ya kule mwezini/Mars.......
 
Siamini kama hii comment umeitoa weye...Utazoea tu mbona sie tupo just Lower your expectations you will be fine...

Pole mkuu...

Cc: Belo,@ARB mfarisayo Idimi mtotowamjini....

Nilitegemea kocha atakayemrithi SAF lazima angepata tabu,Next season baada ya game 10 ndio ntatoa assesment kama Moyes anastahili au hafai kufundisha ManU
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hiyo Uropa hatuitaki,next season tunajenga timu

ImageUploadedByJamiiForums1398021809.630521.jpg ....#SizitakiMbichiHizi !!!

#MosKwito !
 
Oh, really?! Naona unajifariji kama kawaida ya goons...msimu ulivyoanza hadi early March, goons walikuwa title pretenders, oopss, title contenders. Now, the priority is their usual title, #Top4

So, for 9 years, goons' priority has been top four? So, when are you starting to be title contenders? When will you have a competitive squad? Competitive squad under the same specialist in failure?

I bet if goons win FA cup, Wenger will renew his contract until death do them apart!

9 years yote bodi priority yao ilikuwa Top 4....sikuwa na expectations zozote za kuchukua ubingwa...km unaweza naomba ulete quotation yangu mkuu...Kuchallenge Tittle ilikuja by chance just like Looserfool walivyojikuta kwenye brink of Tittle wakati walikuwa na lengo la top 4....

Tusidanganyanye...miaka 9 yote Top 4 was our Target...We have never had a Competitive Squad....ningepata Matumaini tungesajili January...ila uliona yaliyotokea...

All in all mtazoea tu......
 
It took Fergie 6 seasons before he started winning. You should give Mr Moyes a buffer time

mkuu nirekebishe kama nitakuwa wrong.
Ni hivi tukumbuke kuwa at the time Fergie anachukua Man u ni Liverpool ndio ilikuwa imetawala katika soka la uingereza na timu nyingine zilikuwa zinaibuka na kupotea na uwekezaji wa pesa katika soka haukuwepo, but ukiangalia kwasasa ambapo Moyes kachukua timu kwanza yeye kiikuta Man U ni bingwa halafu ni katika kipindi ambacho timu zingine zimewekeza vya kutosha so wakati kipindi kile ni Liverpool ndio alikuwa consistency peke yake, sasa hivi kuna Chelsea wamewekeza vya kutosha, Man City nao pia, Liverpool pia wameibuka tena, Arsenal, na Tots pamoja na Everton siyo wa kuwabeza pia so binafsi naamini ni makosa sana kufananisha era ya fergie na ya Moyes.
 
9 years yote bodi priority yao ilikuwa Top 4....sikuwa na expectations zozote za kuchukua ubingwa...km unaweza naomba ulete quotation yangu mkuu...Kuchallenge Tittle ilikuja by chance just like Looserfool walivyojikuta kwenye brink of Tittle wakati walikuwa na lengo la top 4....

Tusidanganyanye...miaka 9 yote Top 4 was our Target...We have never had a Competitive Squad....ningepata Matumaini tungesajili January...ila uliona yaliyotokea...

All in all mtazoea tu......

Miaka 9 now So lini mtaanza kuchallenge ubingwa?
 
Mkuu...hakuna unazi wala "ukoroma"........maneno ni yako mwenyewe......unadai DM aliijenga Everton (sijui kwa miaka mingapi mpaka uiite project.....kama kweli ilikuwa project) na Martinez kaja kumalizia project "kwa kuongeza touches zake"........

sasa basi kw amlengo huo huo......turejee kwa ManU.....SAF kaiacha timu ni Mabingwa......I mean the EPL Champions.......tu assume SAF naye ilikuwa ni project....na akaimaliza successfully....DM kaja kuchukua a successfully project na matokeo yake tumeyaona.......sasa kwa kutumia theory yako.....DM kaweka touches zake timu imeanguka.....kwa hiyo hapo tumlaumu SAF?......

It is clear with no doubt.....DM has to go.......

kuna mtu mwingine analinganisha SAF alivyoikuta ManU wakati ule (tena wakati ule ndio ilikuwa ni project ya SAF kuipeleka ManU kwenye mafanikio) na hivi sasa alivyoikuta DM........hapo ni sawa na kulinganisha maisha ya dunia na yale ya kule mwezini/Mars.......

Moyes kaja wakati 'project' ya SAF imefika climax...i.e. kwenye hatua ambayo haiwezi kuwa productive sana...

Ndiyo baadhi ya wachambuzi wa soka England wanakwambia SAF was very smart/clever kustaafu msimu jana, kwani aliona mwishowe ataharibu legacy yake yote...msimu jana timu hazikuwa zimewekeza kama sasa, kiwango cha ushindani hakikuwa kikali..ndio maana United akashinda kwa tofauti ya points 11...

Sasa inabidi DM aanze project yake naye United...kitu ambacho ameanza kidogo kidogo msimu huu....ndiyo maana bado sitaki kusema #MoyesOut mpaka nimwone msimu kesho atakavyofanya na TIMU YAKE...
 
9 years yote bodi priority yao ilikuwa Top 4....sikuwa na expectations zozote za kuchukua ubingwa...km unaweza naomba ulete quotation yangu mkuu...Kuchallenge Tittle ilikuja by chance just like Looserfool walivyojikuta kwenye brink of Tittle wakati walikuwa na lengo la top 4....

Tusidanganyanye...miaka 9 yote Top 4 was our Target...We have never had a Competitive Squad....ningepata Matumaini tungesajili January...ila uliona yaliyotokea...

All in all mtazoea tu......

Kumbe!! Kwa hiyo bodi ya goons ndiyo walivyosema hivyo?

Unajua kujifariji!! Anyway, siyo mbaya kujipa kile ulichosema, 'lower expectations'.
 
nynyi mapulu mnashindwa hata na crystal palace dah,kweli mumefulia mumebaki kujifariji,
 
Kumbe!! Kwa hiyo bodi ya goons ndiyo walivyosema hivyo?

Unajua kujifariji!! Anyway, siyo mbaya kujipa kile ulichosema, 'lower expectations'.

Kama ulikuwa hujui...They board were not Targeting anything more than a Top 4...Remember top four is like a trophy agenda? Lets wait and see if they will invest from next season...kwani wanadai sasa wanapesa za kumnunua yoyote...😀😀
 
Huyo yeyote atakubali bila ya CL nani? Hawatapata world class players labda wajaribu kama BR alivyojaribu kwa daniel sturridge na phillipe courtinho.

ImageUploadedByJamiiForums1398068305.153290.jpg ImageUploadedByJamiiForums1398068351.535046.jpg
 
Back
Top Bottom