mkuu nirekebishe kama nitakuwa wrong.
Ni hivi tukumbuke kuwa at the time Fergie anachukua Man u ni Liverpool ndio ilikuwa imetawala katika soka la uingereza na timu nyingine zilikuwa zinaibuka na kupotea na uwekezaji wa pesa katika soka haukuwepo, but ukiangalia kwasasa ambapo Moyes kachukua timu kwanza yeye kiikuta Man U ni bingwa halafu ni katika kipindi ambacho timu zingine zimewekeza vya kutosha so wakati kipindi kile ni Liverpool ndio alikuwa consistency peke yake, sasa hivi kuna Chelsea wamewekeza vya kutosha, Man City nao pia, Liverpool pia wameibuka tena, Arsenal, na Tots pamoja na Everton siyo wa kuwabeza pia so binafsi naamini ni makosa sana kufananisha era ya fergie na ya Moyes.