Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Fergie dah ametuingiza mkenge sana...

Kwasababu Wenger hasign tena mkataba mpya mchukueni "the chosen one" atawaleteeni na Fellaini na Claverley
Hahaha kama Wenger hatosaini mkataba kuna mwali kashaandaliwa kuchukuwa nafasi yake. Tetesi zinasema atatokea Ujerumani.
 
Mkuu hapa huna quality players. Hata SAF angekuwa bado ni kocha watu wangemfanya vibaya. Hii timu inatakiwa iwe-scrapped na waanze rebuilding asap. Butner, Cleverly, Carrick, Jones, Felaini, Welbeck, Valencia, Ferdinand, Vidic, Smalling wote ni average players and they need to go!

ImageUploadedByJamiiForums1398092205.617688.jpg ImageUploadedByJamiiForums1398092241.954920.jpg
 
Km Monaco na Psg walikuwa hawako CL lakini wamenunua World class players hivyo sio issue hayo unayosema...

Bora umesema wewe chifu. Watu wamekariri; wanasahau sasa mpira ni pesa yako tu!!

Hata City iliwanunua Aguero na Yahya Toure kipindi ambacho UCL walikuwa wakiisikia kwenye bomba.
 
Nzi Belo Mndengereko this is serious now.....hadi SkySports wakiandika hivi ujue ni kweli.....Moyes will be sacked in the next 24hrs....

[h=1]Sky sources: David Moyes facing sack as Manchester United manager in next 24 hours[/h]











davidmoyes1bayern_3118302.jpg


David Moyes: Manchester United boss facing the sack, according to reports




Sky Bet

[h=4][/h]

David Moyes is facing the sack as Manchester United manager in the next 24 hours, according to Sky sources.
The outgoing Premier League champions have refused to comment on the widespread reports on Monday afternoon, but Sky sources suggest Moyes will be gone by Tuesday at the latest.
Moyes has endured a difficult reign since taking charge of United last summer, but the club were expected to stand by the Scot, despite a lack of success in domestic and European competitions.
United's board appear set to cut short Moyes' six-year deal in the wake of the latest 2-0 defeat at former club Everton, which left United 13 points adrift of the Premier League top four.
Reaching the quarter-finals of the UEFA Champions League did briefly ease the pressure on Moyes, but they bowed out with a 4-2 aggregate defeat against Bayern Munich.

165012893_3488743688001_video-still-for-video-3488635323001.jpg



David Moyes said he couldn¿t fault how his players played and felt two silly mistakes cost Manchester United the game.



Sir Alex Ferguson had urged the club to give the next manager time when he stepped down in May after a glittering spell at Old Trafford, but owners, the Glazer family, seem to have lost patience.
Ferguson, who has watched many of United's games from the stands, himself had a tough start to his 27-year spell in charge, but went on to win two UEFA Champions League trophies, 13 Premier League titles and five FA Cups.
United are expected to spend heavily in the summer and a successor would be entrusted with the transfer fund, which is reported to be around £150million.

tony-cottee-profile_2989569.jpg

"The key question is has he got the support of the players? Looking at the performances, I would say no at the moment."
Tony Cottee



Holland manager Louis van Gaal, who is leaving after the World Cup, Borussia Dortmund boss Jurgen Klopp, and Paris St-Germain's Laurent Blanc have been tipped as possible contenders to replace Moyes.
Sky Sports pundit Tony Cottee suggested that Moyes had lost the backing of some members of his squad.
Speaking on Gillette Soccer Special, Cottee said: "The key question is has he got the support of the players?
"Looking at the performances, I would say no at the moment. Players are very powerful these days."
Sky Bet have slashed the odds on Moyes' departure to 1-10, naming Van Gaal as 4-1 favourite to succeed him, with Klopp at 5-1 and veteran winger Ryan Giggs at 6-1.
Does David Moyes deserve more time at Man Utd?
 
Last edited by a moderator:
Manchester United wanataka kufanya ujanja wa kumfukuza Moyes ili Arsenal wamuwahi au? Hehehehe!
 
Ehee Mungu ebu sikia hiki kilio changu cha muda mrefu #moyesout
Hawa watu hawaaminiki ukawii kesho kusikia uongozi wa Man United umekanusha habari zilizozagaa za kufukuzwa kwa Moyes
 
.......#HapoZanmaniJapoSiKale .....


IN MOYES WE TRUST

Jamaa anajua kusuka beki na kiungo na zaidi ya yote ana nidhamu ya game

Ombi langu kwa Moyes kama Rooney anataka kuondoka amwache aondoke ila atuletee fidodido Fellain

Naona katika match 3 za pre-season Moyes kashalambishwa sakafu mara mbilli, leo kuna kitimu huko Japan kimewachapa goal 3 -2,
bila ya kusahau kua vijamaa vimefunga magoal 4 ktk hiyo game, team ya Moyes imefunga goal moja tu na jingine walisaidiwa na wajapan wenyewe.

Mchezaji nyota/ man of the match alitokea Yokohama, bwana Andrew KUMAGAI!

Hii ni Pre-season mkuu watu still wana hangover kumbuka Arsenal huwa anagawa dozi sana Preseason but msimu wa 9 unakuja wanaendelea kuwa wasindikizaji
 
Watu wa ku Bet kajaribuni kupeleka pesa zenu Betting shop weka Moyes atafukuzwa Man United ukiona wamekukatalia kuweka pesa ujue kweli kafukuzwa kapewa muda wa kukusanya vitu vyake tu na na Cream zake za kutoa mikunjo ya uso alichobakiza ni Kuwa Driver wa Sir Alex.
 
Moyes kafukuzwa na gigs anakaimu nafasi yake

21 April 2014Last updated at 15:04 GMT


[h=1]David Moyes: Manchester United 'no comment' on boss reports[/h]
Manchester United say David Moyes has not been sacked but declined to comment when asked about the manager's longer-term future.
National newspapers say the club will dispense with the Scot's services following a poor season.
However a United spokesperson would only confirm Moyes has not been sacked.
When pressed on whether the manager would leave before the end of the season, the spokesperson added, "we do not comment on speculation".
None of the newspapers are reporting that Moyes has been sacked yet. The Daily Mail writes that he will be dismissed before the end of the season, while the Daily Telegraph says he has lost the support of club owners the Glazer family and is facing the sack.
The Sun and the Daily Mirror , meanwhile, report that the United board will sack him, but that it is unclear whether this will happen before the weekend's game at home to Norwich.
Moyes was chosen by Sir Alex Ferguson to succeed him as United manager when he stepped down from the role after 26 years in charge last summer.
The 50 year-old was handed a six-year deal to leave Everton for the Premier League champions but his tenure could be nearing an end after just 10 months.

BBC Sports

 
Kuna rumuors kuwa Moyes atatimuliwa

Wacha hizo weye unamuumiza Ngongo khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hahaha kama Wenger hatosaini mkataba kuna mwali kashaandaliwa kuchukuwa nafasi yake. Tetesi zinasema atatokea Ujerumani.

Prof amechema atasaini mkataba wala usiwe na shaka anaandaa invincibles mwakani ........ tunaanza na FA cup na mwakani mtatupotea maana Rambo, Ozil and company watakuwa moto wa kuotea mbali bila kumsahau Giroud .... ..... .... 17 years in CL and still counting, na chacha deni la uwanja kwishnei .... ..... ... patamu hapo.

Bora umesema wewe chifu. Watu wamekariri; wanasahau sasa mpira ni pesa yako tu!!

Hata City iliwanunua Aguero na Yahya Toure kipindi ambacho UCL walikuwa wakiisikia kwenye bomba.

muache aende tumechoka vichwa vinauma kila mda tunawaza vipigo tu.

Mambo junguluka chi ulichema una imani na Mo no weye? mnaweweseka chacha na vipigo. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

sisi hatujazoea wacha tumuondoe tu...nyinyi mliozoea miaka tisa hongereni sana.

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom