Nyiye malengo yalikuwa kushinda 'ubingwa' wenu ule?!? Naona mnaelekea kutizima malengo, hongereni.
Ansante saana mkuu nami nampa pongezi Moyes kwa kuendelea kutetea nafasi yake ilee! Ambayo kaizoea toka akiwa Everton.
kaka niko pure kabisa naombea mechi ya leeo tupigwe ili izidi kuchochea kuondolewa kwa moyes na so far everton wamefanya kweli
Nafasi ipi? Ebu nitajie nafasi ambazo Everton ilishika kwa kipindi chote chini ya DM?!
Mmemwona Chicharito sasa.huyu jamaa anafungua vyumba
Sisi hatugombei tena nafasi ya nne. Tunapambana tuweze kucheza Euro cup (UEFA NDOGO)
Saaba. Kama si nane au sita.
Moyez katuharibia sana timu yetu bora hata ifundishwe na kocha mchezaji mr. Giggs.
to be honest rooney hayuko fit na haenjoy mpira it seems likebado hajapona vizuri tokea kapigwa yale masindano ningekuwa mimi kocha nahisi ningempanga welbeck nafasi ya rooney.,ila as long as nataka moyes atimuliwe so jufungwa mechi ya leo kwangu hamna shida.
But not today!... Bolton had your number today...🙂
Arifu nafikiri hatuchekani...kwani mimi sikutarajia kuchukua ubingwa mwaka huu...lengo lilikuwa top 4...
Sasa nyiye mlikuwa mkisema ubingwa wenu mwaka huu, kutoka kwenye mbio za ubingwa hadi mbio za nafasi ya nne!!! Kuna kuchekana hapo?
Wote tumefail msimu huu? Pengine sisi tumepata 2/10 nyiye mna 3.5/10