Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ebana ndo umeshafunga account huku kama nilivyofanya kule nini au ndo mgomo baridi hadi Moyes aondoke? DonDonald
 
Wapenzi wa Man Utd nadhani tujaribu tena msimu ujao kwani tumefulia kweli msimu huu wa 2013/2014.

Cha kujivunia ni kuwa HISTORIA inatulinda.
 
Mambo ya Man U sisi tulishaachana nayo. sasa hivi nguvu zetu tumeelekeza weldi! kap!.
 
Watu wanasahau Moyes alipoitoa Everton na kumpa credits zote Martinez, aliyeishusha daraja Wigan!!

Je, siku Wenger akiondoka goons, halafu akaja kocha na kuchukua makombe matatu msimu wa kwanza, mambo aliyofanya Wenger yatasahaulika?

....kwa mlengo huo huo tuseme nini kuhusu SAF?....kwamba alifeli??????!!!.......sijui kwa nini unamtetea sana DM aisee.........DM anaendelea kuharibu uzuri wa Ligi ya Uingereza.....unafikir ukimuuliza mshabiki wa Everton leo hii kuhus performance yao unafikiri atamsifia DM??....please!

unaposema Martinez aliishusha daraja Wigan......kw ahiyo unataka kutuaminisha kuwa Everton walimchukua Martinez ili iweje......your theory/assertion kuhusu Martinez Vs DM Vs Arsene Wenger does not apply at all.......
 
Mwaka huu wa ajabu Manchester Utd na Arsenal wote wanaweza kukutana Europa League baada ya miaka zaidi ya kumi kuwepo Champions League. Tusubiri tuone.

Miaka18 mfululizo kwa United...

Ila chifu, nisingependa United iende Europa; ligi ya kipuuzi sana ile...fixtures ziko crowded kweli, zinaanza two weeks after world cup...kusafiri kila kona ya Ulaya..malipo kiduchu.

Hivyo ningependa focus ya United next season iwe kwenye domestic cups tu...
 
....kwa mlengo huo huo tuseme nini kuhusu SAF?....kwamba alifeli??????!!!.......sijui kwa nini unamtetea sana DM aisee.........DM anaendelea kuharibu uzuri wa Ligi ya Uingereza.....unafikir ukimuuliza mshabiki wa Everton leo hii kuhus performance yao unafikiri atamsifia DM??....please!

unaposema Martinez aliishusha daraja Wigan......kw ahiyo unataka kutuaminisha kuwa Everton walimchukua Martinez ili iweje......your theory/assertion kuhusu Martinez Vs DM Vs Arsene Wenger does not apply at all.......

Doesn't apply kwa kuwa umevaa koti la unazi...

Ninachosema ni kwamba kinachoendelea Everton, huwezi kumpa credits Moyes pia, kwani aliijenga timu, Martinez kaja kukamilisha project kwa kuongezea touches zake...

Ni sawa atakapokuja mrithi wa Wenger na kufanikiwa, halafu usahau jinsi Wenger alivyoweka misingi imara...of course, kocha huyo akifail lazima lawama ziwe kwake...

Nasubiri sana siku Wenger atakavyoondoka na goons mtakavyostruggle..
 
Miaka18 mfululizo kwa United...

Ila chifu, nisingependa United iende Europa; ligi ya kipuuzi sana ile...fixtures ziko crowded kweli, zinaanza two weeks after world cup...kusafiri kila kona ya Ulaya..malipo kiduchu.

Hivyo ningependa focus ya United next season iwe kwenye domestic cups tu...

Afu kibaya kingine wanaoshindwa kukwalifai Knock out stage(3rd place) katika UCL wanatupwa Europa League mkishafika stage hii timu zilizoanza Europa tangu mwanzoni zinakuwa zimeshacheza mechi nyingi kuliko walioishia nafasi ya 3 UCL, inakuwa kama mnaanza nao upya. UEFA wangebadili hii system sababu haipo fair.
 
Wapenzi wa Man Utd nadhani tujaribu tena msimu ujao kwani tumefulia kweli msimu huu wa 2013/2014.

Cha kujivunia ni kuwa HISTORIA inatulinda.
Kabisa. Tujiandae kwa msimu ujao
 
]It took Fergie 6 seasons before he started winning. You should give Mr Moyes a buffer time[/B]

Fergie took over a team full of drunkards while Moyes inherited EPL champions[some of them champions league winners]......leo Moyes kanithibitishia hana mbinu,hata mimi mtazamaji nilikua naona nini kinahitajika ila yeye ilimchukua 60minutes to see that!!!!!!
 
Afu kibaya kingine wanaoshindwa kukwalifai Knock out stage(3rd place) katika UCL wanatupwa Europa League mkishafika stage hii timu zilizoanza Europa tangu mwanzoni zinakuwa zimeshacheza mechi nyingi kuliko walioishia nafasi ya 3 UCL, inakuwa kama mnaanza nao upya. UEFA wangebadili hii system sababu haipo fair.

ukitaka ufair shart ugangamale MKUU
 
Top four...hatuna competitive squad..

Anza kupractice otherwise utaumia sana ndugu

Oh, really?! Naona unajifariji kama kawaida ya goons...msimu ulivyoanza hadi early March, goons walikuwa title pretenders, oopss, title contenders. Now, the priority is their usual title, #Top4

So, for 9 years, goons' priority has been top four? So, when are you starting to be title contenders? When will you have a competitive squad? Competitive squad under the same specialist in failure?

I bet if goons win FA cup, Wenger will renew his contract until death do them apart!
 
Back
Top Bottom