Na kumbuka mechi ijayo mnacheza na Chelsea the Brentford + liverpool🤣🤣🤣🤣🤣😂😂Hata abadilishe mfumo, hatuna quality players wakutupa cha maana. Angalia vikosi vya washindani wetu wakubwa ulinganishe na sisi, tuko hoi. Msimu huu timu zifuatazo hatuwezi kuzifunga labda kwa bahati tu,
Liverpool
Arsenal
Bournemouth
Sunderland
Spurs
Crystal Palace
Chelsea
Newcastle
Fullum
Man city( japo naye yupo hoi, ila mechi zote atatuchalaza)
Bado zile zinazokaza kweli kweli kama, Aston Villa, Brighton, West, ham, Brentford.
Siku hizi hata kwenye mikeka tunaiua kabisa angalau tusikose hata pesa za kanji 😛Imefikia hatua hii timu yangu hata ikipigwa sishtuki kabisa , yani kawaida tu😅
Hahahaha hakuna namnaSiku hizi hata kwenye mikeka tunaiua kabisa angalau tusikose hata pesa za kanji 😛
Aendelee tu na mfumo wake ule ule ila upangaji wa kikosi ndio shida maana jana baada ya zile sub zile dk10 za mwisho ule mfumo wake uliapply vizuri tuTatizo lilishakuwepo tangu dirisha la usajili lifungwe baada ya kushindwa kusajili kiungo mkabaji aina ya Baleba. Angalia jana tulivyokuwa ovyo kwenye kiungo.
Pia timu haina nguvu kwenye kujenga mashambulizi, maana unakuta hata kwenye 18 ya adui hawaingii kwa wepesi.
🤣🤣🤣🤣Hapa ni kukomaa na Jamaa ilimradi tusishuke daraja, cha msingi kocha wachezaji wasimpande kichwani.
😂😂 brother hamko kimataifa msimu huu. Kwa hiyo ni waingereza tu.Hii system ya kusema kuweka mabeki wengi kulazimisha wacheze sio positions zao, tutaendelea kufungwa na timu nyingi, especially timu za kingereza
Muongo huo mkeka uliopata ni upiSiku hizi hata kwenye mikeka tunaiua kabisa angalau tusikose hata pesa za kanji 😛
Haujawai kufeli mwanangu mwenyeweNi siku nyingine tena tamu kabisa tunaenda kuwashuhudia vijana wa sir barobaro boys dhidi ya vijana wa mzee kipara.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha![]()
![]()
![]()
My prediction
Man City 1 vs Manchester united 3
watapigwa sana wale
GGMUView attachment 3472057
