Huyu Amorim afukuzwe haraka tunaweza kuingia relegation zone na mfumo wake huu. Ushakataa , bora afukuzwe mapema.
Ni muda wa kumjadili kocha sasa uwezo wake unatosha kutuvusha?