Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Daaah hii Man U itatuua mwaka huu
1757868547087.png
 
Kwa sasa hivi, sisi ni timu ya kawaida sana, tumebakisha jina tu basi tupotee mazima,

Wachezaji kama Amad, Mazeoue, Ugarte,Yolo, Dorugu, De Light, Sesko mbeumo si wakucheza Man united, ni wachezaji wa Daraja la chini kabisa, hatuwezi kuachieve chochote na wachezaji hawa, tunasikitisha na hatujui ni lini tutajipata tena.
Shida nyingine ya kitechnical nahisi ni allypipi pia 🤣🤣
 
Timu yetu kwa sasa ni level moja na Burnley, Fulham, Nottingham forest, Brighton, Brentford hatukaribii kabisa level za Liverpool, Arsenal, Tottenham, Chelsea, hivi mfano tungevunja kikosi chote, tukaanza na moja kabisaa inawezekana hadi nitazeeka hii timu bado haijajipata.
 
Siku ambayo Amorim atatambua timu aliyonayo haiwezi kucheza mfumo anaotaka nadhani atakuwa tayari amefukuzwa.

Na kwa hii nafasi anayomchezesha Bruno, muda sio mrefu Bruno ataanza kuonekana mzigo na ataenda timu nyingine itakayoweza kumtumia vizuri katika nafasi yake ya CAM na atauwasha moto kama Scott.
 
Hahahahaha
Mkuu mbona umekata tamaa hivyo?

Si mlisema tatizo ni Onana?
 
mimi nina uhakika manjestaa itakuwa bingwa mdimu huu, uwezo huo mnao, nguvu mnazo, kikosi kikali macho, kochi mnaye, yani full mkoko 😄😄😄
 
Siku ambayo Amorim atatambua timu aliyonayo haiwezi kucheza mfumo anaotaka nadhani atakuwa tayari amefukuzwa.

Na kwa hii nafasi anayomchezesha Bruno, muda sio mrefu Bruno ataanza kuonekana mzigo na ataenda timu nyingine itakayoweza kumtumia vizuri katika nafasi yake ya CAM na atauwasha moto kama Scott.
niliwahi sema humu ......

Huu mfumo hautakaa ufanye kazi kwa wachezaji wale wa manutd na EPL hii ya sasa.....ni mfumo mgumu kuuelewa kwa hawa wachezaji waliopo pale.....

Kama hawezi badilika huyu ,ataliwa kichwa kabla ya November .....tupo hapa.
 
Back
Top Bottom