Mbona kacheza na kajipigia goli la penatiKwani Sesko majeruhi?
Benjamin Šeško for Man United:
️ 0 goals
0 assists
3 games


Ina maana siku hizi magoli ya penati hatuyahesabii? Kiuhalisia kabisa mkuu nawaonea huruma...yaani hata kuwasema ntakosa ile PAWA....mfukuzeni kocha chukueni kile kibabu Cha Nottingham forest kwa mpito msimu huu...mnaweza kuambulia kitu....ila mkikaza shingo hakyanani Kuna siku zile saba za Livakuku mlizodundwa zitajirudia na nyongeza ya magoli engine juu....mna Hali mbaya majirani....Sesko mmefanya nn yule mtoto....pale kwny klabu yenu ni kama Kuna jini mahaba hivi.....wachezaji wakija pale yaani ile PAWA inawaisha kabisaIna maana siku hizi magoli ya penati hatuyahesabii?
Naona kwenye jukwaa lenu unatamba Jokeri kafunga magoli 71 mazoezini, haya jumlisheni na yale mawili ya ligi takwimu isome ana magoli 73.
#Arsenyau Kondoo
#Jokeri KiatuView attachment 3456086
Kiuhalisia kabisa mkuu nawaonea huruma...yaani hata kuwasema ntakosa ile PAWA....mfukuzeni kocha chukueni kile kibabu Cha Nottingham forest kwa mpito msimu huu...mnaweza kuambulia kitu....ila mkikaza shingo hakyanani Kuna siku zile saba za Livakuku mlizodundwa zitajirudia na nyongeza ya magoli engine juu....mna Hali mbaya majirani....Sesko mmefanya nn yule mtoto....pale kwny klabu yenu ni kama Kuna jini mahaba hivi.....wachezaji wakija pale yaani ile PAWA inawaisha kabisa


Amoringo ni kocha mzuri, ila shida yake ilianza mara tu alipoona Man Utd inamtaka basi akajiona yuko kwenye level za kina Pep Guardiola. We dodged a bullet with Sesko. Thank you Andrea Berta.Ina maana siku hizi magoli ya penati hatuyahesabii?
Naona kwenye jukwaa lenu unatamba Jokeri kafunga magoli 71 mazoezini, haya jumlisheni na yale mawili ya ligi takwimu isome ana magoli 73.
#Arsenyau Kondoo
#Jokeri KiatuView attachment 3456086
Sesko sio proven striker msimu wake Bora ni msimu uliopita Tena kascore goal 13 tu. Ni mchezaji ambaye anahitaji muda zaidi ili awe proven kiumri ni mdogo ambaye anahitaji kujifunza zaidi bahati mbaya kaenda kwenye team ambayo ipo disorganized na pia muda haumsubiriKiuhalisia kabisa mkuu nawaonea huruma...yaani hata kuwasema ntakosa ile PAWA....mfukuzeni kocha chukueni kile kibabu Cha Nottingham forest kwa mpito msimu huu...mnaweza kuambulia kitu....ila mkikaza shingo hakyanani Kuna siku zile saba za Livakuku mlizodundwa zitajirudia na nyongeza ya magoli engine juu....mna Hali mbaya majirani....Sesko mmefanya nn yule mtoto....pale kwny klabu yenu ni kama Kuna jini mahaba hivi.....wachezaji wakija pale yaani ile PAWA inawaisha kabisa
Na kwa hali inavyoenda atapata pressure ya mashabaki na wachambuzi ambayo inaweza vuruga zaidi.Sesko sio proven striker msimu wake Bora ni msimu uliopita Tena kascore goal 13 tu. Ni mchezaji ambaye anahitaji muda zaidi ili awe proven kiumri ni mdogo ambaye anahitaji kujifunza zaidi bahati mbaya kaenda kwenye team ambayo ipo disorganized na pia muda haumsubiri
Wanangu wa man u niko pamoja na nyinyi bega kwa bega, mpaka timu iwaue.. 😂
Shabiki wa man u akifakwa stress za mpira, mkewe anarithiwa na shabiki wa arsenal ama Liverpool 😂 😂 😂