Siku hizi hata kwenye mikeka tunaiua kabisa angalau tusikose hata pesa za kanji 😛Imefikia hatua hii timu yangu hata ikipigwa sishtuki kabisa , yani kawaida tu😅
Hahahaha hakuna namnaSiku hizi hata kwenye mikeka tunaiua kabisa angalau tusikose hata pesa za kanji 😛
Aendelee tu na mfumo wake ule ule ila upangaji wa kikosi ndio shida maana jana baada ya zile sub zile dk10 za mwisho ule mfumo wake uliapply vizuri tuTatizo lilishakuwepo tangu dirisha la usajili lifungwe baada ya kushindwa kusajili kiungo mkabaji aina ya Baleba. Angalia jana tulivyokuwa ovyo kwenye kiungo.
Pia timu haina nguvu kwenye kujenga mashambulizi, maana unakuta hata kwenye 18 ya adui hawaingii kwa wepesi.
🤣🤣🤣🤣Hapa ni kukomaa na Jamaa ilimradi tusishuke daraja, cha msingi kocha wachezaji wasimpande kichwani.
😂😂 brother hamko kimataifa msimu huu. Kwa hiyo ni waingereza tu.Hii system ya kusema kuweka mabeki wengi kulazimisha wacheze sio positions zao, tutaendelea kufungwa na timu nyingi, especially timu za kingereza
Muongo huo mkeka uliopata ni upiSiku hizi hata kwenye mikeka tunaiua kabisa angalau tusikose hata pesa za kanji 😛
Haujawai kufeli mwanangu mwenyeweNi siku nyingine tena tamu kabisa tunaenda kuwashuhudia vijana wa sir barobaro boys dhidi ya vijana wa mzee kipara.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha![]()
![]()
![]()
My prediction
Man City 1 vs Manchester united 3
watapigwa sana wale
GGMUView attachment 3472057

Kwani mkuu garnacho ni mchezaji mbaya? We subiri uone atakachokifanya akiwa Chelsea ndio mtajua vizuri sio kwamba mnawachezaji wabaya kiasi mshike hiyo nafasi, mbona hao wachezaji wakienda team zingine wanafanya vizuri?Labda unatania, timu nzuri? Kwa wachezaji wapi ,hawa akina mboemo, Amad, Mainoo n.k
Shida sio ubovu wa mchezaji ila attitude zao ndio zilikuwa zinaiangusha timu.Kwani mkuu garnacho ni mchezaji mbaya? We subiri uone atakachokifanya akiwa Chelsea ndio mtajua vizuri sio kwamba mnawachezaji wabaya kiasi mshike hiyo nafasi, mbona hao wachezaji wakienda team zingine wanafanya vizuri?
Bado hajafukuzwa tu ?Under Jose Mourinho (4-2-3-1)
Man Utd fans: his tactics are outdated. We parked the bus a lot.
Under Ole Gunnar Solskjaer (4-2-3-1)
Man Utd fans: his tactics are wack. He depends on individual brilliance
Under Ralf Rangnick (4-2-2-2)
Man Utd fans: who uses a 4-4-2 diamond (4-2-2-2) formation in the Premier League? He’s not even a coach.
Under Erik ten Hag (4-2-3-1, and (4-3-3)
Man Utd fans: his tactics are boring. He treated Ronaldo like sheet, offloaded De Gea, who many were tired of his errors though.
Under Ruben Amorim (3-4-2-1)
Man United fans: his tactics are not working. Who uses 3-4-2-1 formation in the Premier League. He has to change it.
And British media in all of these eras: Man United manager has lost the dressing room.
Do you know what’s consistent in all these?
Man United fans talking about tactics, media talking about dressing room division.
One thing is certain; the next manager even if that’s you, I will support until it’s over.